Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,508
- 13,974
Miaka 29,una ajira una jua kwenda club na kuchukua mademu,unamiliki gari,halafu hujui pesa zinaenda wapi?
Are you serious?
Au ninyi ndio mnaochagua wasio chagulika kwenye chaguzi.??
Ushauri wangu,fanya ulichodhamiria ila kumbuka kutumbu dhambi zako,ili uwekwe kwenye nafasi yako!!