Natamani Kujiua

Natamani Kujiua

Unapokuwa kwenye shida, dhiki, gizan ujuwi wapi kwa kwenda muhite Yesu yupo karibu nawe atakusaidia.

Boresha mahusiano yako na mzazi wako, futa na achana na michepuko yote. Utahisi utofauti katika maisha yako.
 
Nachokushauri ndugu yangu ni hivi! Nenda kwa mama yako ukamuombe msamaha tena muangukie miguuni ukiwa na akili zako timamu sio unamwendea umepiga kiroba, acha pombe na wanawake pia, mwelekee sana Mungu swali khamsa swalawati mambo yako yatakwendea vizuri sana na utasahau shida zote.

"PEPO IKO CHINI YA NYAYO ZA MAMA YAKO" tafakari!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom