muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,835
- 14,727
Umeshindwa kutumia elimu yako,upeo kujitambua na kujiongoza, ukaona suluhisho pekee ni kijiua!.Kabili tatizo sio kulikimbia.....
Je ukijiua utapata faida gani?Habari Wana JF, Kama Heading Inavyosomeka Hapo Juu, Mimi Ni Kijana wa Miaka 29, Nimeajiriwa, Kazi Imenitenganisha Na Familia,( Mzazi Mmoja ambaye Ni Mama, Maana Baba Alifariki Kipindi Nikiwa Mdogo, Nimekua Mlevi Kupindukia, Simu Sipigi Nyumbani, Hela Siioni Inakoelekea, Mama Sina Mahusiano Nae Mazuri, Mahusiano Yangu Hayaeleweki.
Misuko Suko Kibao, Ajali Haziishi, Sioni Wapi Naelekea, Asubuhi ya Leo Wakati Natoka Club , Nikiwa Na Mwanamke Niliempata Huko, Nimepata Ajali Mbaya Sana, Nimepata Majeraha Madogo Tu, Ila Gari Imeumia Sana, Na Kwa Vile Nilikua Nimelewa, Nikampigia GF Wangu Akaja Kushughulikia Kuivuta Gari, Mimi Na Yule Mwanamke Tukawa Tumeshaondoka, Hata Sikufikiria Kama Nitakutwa.
Mbaya Zaidi Nikafumaniwa Na Yule Mwanamke, Ilikua Aibu tupu Mtaani, Naona Siheshimiki Tena, Nyumba Ninayoishi Ni Ofisi Nipo Na Baadhi ya Staff Wenzangu wapo Na Familia Zao, Sijatoka Nje Siku Nzima ya Leo, Kilicho Kichwani Kwangu Ni Kujiua Tu, Sitamani Tena Kuishi, WHY ALWAYS ME? Nimemkosea Nini Mungu, Najua Natenda Dhambi, Ila Niende Huko Labda Nitapumzika. Samahanini Kwa Maelezo Yangu Marefu
Ila Hili Lipo Moyoni Mwangu na Lazima Nilitekeze, Napokea Maoni Yenu Wadau, NAKOSEA WAPI?
Habari Wana JF, Kama Heading Inavyosomeka Hapo Juu, Mimi Ni Kijana wa Miaka 29, Nimeajiriwa, Kazi Imenitenganisha Na Familia,( Mzazi Mmoja ambaye Ni Mama, Maana Baba Alifariki Kipindi Nikiwa Mdogo, Nimekua Mlevi Kupindukia, Simu Sipigi Nyumbani, Hela Siioni Inakoelekea, Mama Sina Mahusiano Nae Mazuri, Mahusiano Yangu Hayaeleweki.
Misuko Suko Kibao, Ajali Haziishi, Sioni Wapi Naelekea, Asubuhi ya Leo Wakati Natoka Club , Nikiwa Na Mwanamke Niliempata Huko, Nimepata Ajali Mbaya Sana, Nimepata Majeraha Madogo Tu, Ila Gari Imeumia Sana, Na Kwa Vile Nilikua Nimelewa, Nikampigia GF Wangu Akaja Kushughulikia Kuivuta Gari, Mimi Na Yule Mwanamke Tukawa Tumeshaondoka, Hata Sikufikiria Kama Nitakutwa.
Mbaya Zaidi Nikafumaniwa Na Yule Mwanamke, Ilikua Aibu tupu Mtaani, Naona Siheshimiki Tena, Nyumba Ninayoishi Ni Ofisi Nipo Na Baadhi ya Staff Wenzangu wapo Na Familia Zao, Sijatoka Nje Siku Nzima ya Leo, Kilicho Kichwani Kwangu Ni Kujiua Tu, Sitamani Tena Kuishi, WHY ALWAYS ME? Nimemkosea Nini Mungu, Najua Natenda Dhambi, Ila Niende Huko Labda Nitapumzika. Samahanini Kwa Maelezo Yangu Marefu
Ila Hili Lipo Moyoni Mwangu na Lazima Nilitekeze, Napokea Maoni Yenu Wadau, NAKOSEA WAPI?
Asante BroKama mkristo jitahidi kutoa fungu la kumi maana bila hivyo biblia inasema utakuwa unaweka akiba kwenye mifuko iliyo toboka, ukitoa fungu la kumi Mungu anaahidi kukumimia baraka hata ukose sehemu ya kuziweka, na atamkemea yeyote alaye vile ulivyovitafuta
Japan kuna sehemu za kujiuliaHata mimi ningejiua aiseee,… sasa mbona unasitasita mkuu.. Ukichelewa utaghairisha maamuzi, kajiue fasta
Badili tabia otherwise utakaribisha depression mwisho ya siku ni kifo tuHabari Wana JF, Kama Heading Inavyosomeka Hapo Juu, Mimi Ni Kijana wa Miaka 29, Nimeajiriwa, Kazi Imenitenganisha Na Familia,( Mzazi Mmoja ambaye Ni Mama, Maana Baba Alifariki Kipindi Nikiwa Mdogo, Nimekua Mlevi Kupindukia, Simu Sipigi Nyumbani, Hela Siioni Inakoelekea, Mama Sina Mahusiano Nae Mazuri, Mahusiano Yangu Hayaeleweki.