Natamani kuitwa mama

Natamani kuitwa mama

Sasa hiyo sweta lako mbona linatukana!???....

I Dont F... With U.

Utakua Mama bora kweli wewe!??
 
Hili ni tatizo la wengi wanaotumia application,nimeona baadhi wanalalamika kule jukwaa la malalamiko,nadhan wahusika wanashughulikia tatizo husika
Hivi mbona mimi nikifungua link inanipeleka kwenye browser? Yaani ile post ninayoifungua kwenye link haifungukii kwenye app
 
Umechoka kuchoropoa mimba sasa unataka watoto.
Hivi watu wa hum mbona mna midomo michafu sana? Mimba alizochoropoa ulimpa wewe au wewe ndo ulimchoropoa? Hebu kuwa na adabu umezaliwa na mwanamke wewe
 
Mimi naona advert ili well articulated.
 
Back
Top Bottom