nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,685
hatutaki matusi humu sawa nyie?? Haya ya kuumbuana ,mara sijui picha mtaweka ili iweje?? Kama mnaham si mseme?
Shem nawe tulia mie nataka kuona picha...
hatutaki matusi humu sawa nyie?? Haya ya kuumbuana ,mara sijui picha mtaweka ili iweje?? Kama mnaham si mseme?
Kiongozi utafiti unahitajika haraka iwezekanavyo, binti anataka kufanya maamuzi magumu sana
Maana nilikuona ile siku ukimpa dawa labda wewe pekee ndiye utakaeweza kumsaidia na maswahibu yanayomkabili
Kwan km alikuja kumsifia na tht scenario hapen...so inabd asubir nxt month....m nadhan hakuna ambae anapenda ku-expose matatizo yake jukwaan umu ila analazimika ili apate ushauri..
Embu kua mpole mshauri mwanamke mwenzako uyo...km huna ushauri bas uchune....[/
QUOTE]
Huy dada eve ni mtata kila nnakoend ananitafuta na kupakaza mambo ya ajabu?how comes mtu unomba ushauri kwa mambo ya uongo?ili iweje?ushauriwe thwn so what?tunashindwa kuelewana hum coz ya mmbo ya ajabu kama mtu hauna ushauri i thnk its much better kupoteze mada tena ni rafiki wangu nje jf
mmmmh! Umetokea wapi hiku bibie nameless girl? Hebu achana na ubishi tuwahi nyumban sijala tangu mchana nataka ukanipikie alaaah
Shem nawe tulia mie nataka kuona picha...
Hahahahaha hautonililia??
Mara hii umekuwa na boyfrend yupi sasa accountancy au huyu wa leo mchana tajiri ulio tafuta nae?
ha ha ha ha aseeee I ll be burned soon
jioni njema ukifa rest in peace
hebu muanike hapa huyo sweetboy nimuone ili nimtongoze kiukweli
Shem kweli hunitakii mema, unataka nimwagiwe mafuta ya moto huko jikoni alaf uje kuomba ushauri huku jf!!!!
endelea kupenda mibaba ya hiyo imaniUtaanza wewe not me!
Ananipa hasira huyu evelyn ni anatongoza my boyfrnd kakataliwa ananfata fata y ?
hapana ntakuwa napika mm ila tu nataka niwe nakuangalia uson wakat napika
huwezi kutoa ushauri kabla ya kujua tatizo otherwise uwe mgangaKwan km alikuja kumsifia na tht scenario hapen...so inabd asubir nxt month....m nadhan hakuna ambae anapenda ku-expose matatizo yake jukwaan umu ila analazimika ili apate ushauri..
Embu kua mpole mshauri mwanamke mwenzako uyo...km huna ushauri bas uchune....
mmh! Nmekwambia twende nyumban achana na ugomvi wa hao. Kama hutaki ntatumia bastora.....
Nini kitatokea?
umukagame naomba yakumbuke niliyokuambia siku ile. Nilikupa ushauri mzuri sana na nikakutolea mifano, hii dunia ni kama tunapokezana kijiti, wanakuja hawa wanaondoka tunakuja sisi tutaondoka na watakuja wengine na wao wataondoka. Hii ndio sifa ya dunia. Niko tayari kukusaidia tena
Karibu
Kwan km alikuja kumsifia na tht scenario hapen...so inabd asubir nxt month....m nadhan hakuna ambae anapenda ku-expose matatizo yake jukwaan umu ila analazimika ili apate ushauri..
Embu kua mpole mshauri mwanamke mwenzako uyo...km huna ushauri bas uchune....[/
QUOTE]
Huy dada eve ni mtata kila nnakoend ananitafuta na kupakaza mambo ya ajabu?how comes mtu unomba ushauri kwa mambo ya uongo?ili iweje?ushauriwe thwn so what?tunashindwa kuelewana hum coz ya mmbo ya ajabu kama mtu hauna ushauri i thnk its much better kupoteze mada tena ni rafiki wangu nje jf
Usinisingizie uongo asee urafiki tangu lini? Wala sikujuiiiiii