Natamani kufa

Natamani kufa

Status
Not open for further replies.
Boyfriend yupi tena? Huyo uliempiga chini?

achana na everlyn salt, ana laana ya watu8. Asije akakupotezea lengo.

kwa hiyo unajiua leo ama utangoja jumatatu ili tusiende kazini, manake uaituhariboe bata

la wknd mamiio

Ili kumkomoa evelyn azidi kuchanganyikiwa swty wangu simuach,kujiua nimeghairi naendelea kula raha nikichoka namuacha naangalia wa kunioa full stop!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahhahahaha shame on u,,huna ubavu hata wa kushikana mkono na boy nnaetoka nae mieeeeeee!utaishia kugongwa na wabeba mizigo,,,,alafu????usipende kuchafua watu ili uonekane mwem kama watafuta bwana jf umebuuuuug sura huna,shape huna,,,ulichopewa ni mdomo mpppppttttttuuuuiu

Hebu nielekezee huyu Eve anaishii Taboraa etii pale ujiji nawe upo huko kumbeee,hebu rusha picha nione bonge lako la shapee
 
Hahhhahhhahhhahhhahhhahhahhhaaaaaaaaaaa mi nishandaaaa msarabaa hebu nipe jina lake la ukwelii niandike juu ya msalaba

Hahahaaaaa, ntamuuliza halafu ntakupm shost.
Halafu tutapika nini msibani, pilau au wali mweupeeee? Nimemiss msosi wa shughuli.....!
 
Boyfriend yupi tena? Huyo uliempiga chini?

achana na everlyn salt, ana laana ya watu8. Asije akakupotezea lengo.

kwa hiyo unajiua leo ama utangoja jumatatu ili tusiende kazini, manake uaituhariboe bata la wknd mamiio
Ha ha ha hana boyfriend ni muke ya muzungu kasema
muzungu ustadh
 
aisee!! Inasikitisha sana kuona baadhi ya watu wanaumiza kutoa ushauri kwa matatizo hewa.

Huwezijua mkuu, inawezekana pia ni kweli coz mambo hayo yanawakuta binadamu na binadamu wenyewe ni sisi. Siamini kabisa kama huyu ni robot au kiumbe tofauti
 
Hebu nielekezee huyu Eve anaishii Taboraa etii pale ujiji nawe upo huko kumbeee,hebu rusha picha nione bonge lako la shapee
umejionea kumbe sipo mwenyewe wadada kibao wanajali pesa na sii jingine
 
Hebu nielekezee huyu Eve anaishii Taboraa etii pale ujiji nawe upo huko kumbeee,hebu rusha picha nione bonge lako la shapee

Hahahahahahhahahahahaaha ntakupm picha yangu huyu eve nlisom nae anaishi kwa shangazi yake mbagala rangi 3 anajiuza kimboka sy typ yangu anapenda kujilinganisha na mie tell her to stay back wth me!
 
Polee ulikua unataka ushaurii au ulikua unataka kutukanaaa hahhhhahhha hebu weka hiyo pichaa tuoneee kwan picha ina tatizo ganiii

Hahahahaha, we noumer, ngoja nitoe macho hapa naweza kufaidi picha za watu muda si mref
 
Nakuelewa sana na ushauri wako niliufanyia kazi ndiyo maana nimefikia hapa nilipo

Kama umefanya chochote kati ya yale basi amini unaenda kulimaliza tatizo lako. Huwezi kupata tatizo lolote kama huna uwezo wakulitatua, lazima njia ipo Mungu anakujua zaidi, soma thread ya Mtambuzi jinsi yakukabiliana na mambo kama haya.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha, we noumer, ngoja nitoe macho hapa naweza kufaidi picha za watu muda si mref

Hehehhehehe eve umentibua wallah naweka picha zako na namba zako za simu changudoa mkubwa ww umetoka kwa sintah waona hum utajificha maniner wallah mie ni mpare pure mixer mwarabu utaniona
 
love stroy, mplekee diva, siku hizi jf imekuwa ovyoo sana kwa post hizi, sasa hao kumi wakubalie wote ili upate vvu halafu ufe kirahisi.
 
I am sorry kama nitakua naingilia wapendwa Evelyn Salt na umukagame, hakuna kitu kikubwa kinachowafanya mkajibizana namna hiyo, kama mnatofauti zenu ni vema kuzimalizia huko PM... huko mtatukanana mwisho mtaanza kucheka kuliko hapa... unaweza kudhani wewe ni mkali wa kujibu zaidi ya mwingine lakini wadhani member wengine watawachukulia vipi? Respect zenu je.. Wanawake tunapaswa kulindiana heshima...
 
Last edited by a moderator:
Hehehhehehe eve umentibua wallah naweka picha zako na namba zako za simu changudoa mkubwa ww umetoka kwa sintah waona hum utajificha maniner wallah mie ni mpare pure mixer mwarabu utaniona

Picha tamuu hebu rusha yakoo haki ya mamaa nna kaka yangu hb halfcast anataka kuoaaa hebu rushaa picha yakooo
 
Kama umefanya chochote kati ya yale basi amini unaenda kulimaliza tatizo lako. Huwezi kupata tatizo lolote kama huna uwezo wakulitatua, lazima njia ipo Mungu anakujua zaidi, soma thread ya Mtambuzi jinsi yakukabiliana na mambo kama haya.

Nashuuru kwa jinsi unajitoa kunisaidia kila siku wewe ni mtu muhimu sana!Mungu akuzidishie
 
Last edited by a moderator:
I am sorry kama nitakua naingilia wapendwa Evelyn Salt na umukagame, hakuna kitu kikubwa kinachowafanya mkajibizana namna hiyo, kama mnatofauti zenu ni vema kuzimalizia huko PM... huko mtatukanana mwisho mtaanza kucheka kuliko hapa... unaweza kudhani wewe ni mkali wa kujibu zaidi ya mwingine lakini wadhani member wengine watawachukulia vipi? Respect zenu je.. Wanawake tunapaswa kulindiana heshima...

thanx nameless girl
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom