Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,754
halafu naomba niwe mpelelez wa kesi hii kwasababu hata mm nmeguswa
umeona eeeeh nakukabidhi file
halafu naomba niwe mpelelez wa kesi hii kwasababu hata mm nmeguswa
mmmmh! Kwan hujui na weye? Acha hizoooo
umukagame tayari ushakufa??
Naomba niweee kitengoo chaa kukusanyaa rambi rambiiii tafazwaliii
Mbona mnanitenga na sare ya msiba jamani? Msisahahu masungoggles ya buluu. Nani atatupaka make up?
hahahaaaa! Hapa nmelikoroga haya maswali sijui hata pa kuanzia kujibu..... Ni stor za kijiwen x shemeji niliskia tu
Hadi na weeeeeee hahhhhahhhhahhha lol
Michango nipeni wala msihofu, yani hapa itakuwa sehemu salama kuliko benki.
Fursa hiyo mama....naiachiaje ipite...
Dada kazi ni kazi tu kikubwa iwe ni halali na asiyefanya kazi na asile!!wabeba mizigo nao ni watu kama wewe tena wanaoa, wanazaa watoto na wanawasomesha kadri ya uwezo wao!!usidharau kazi ya mtu dada!!Hahahahahhahahaha shame on u,,huna ubavu hata wa kushikana mkono na boy nnaetoka nae mieeeeeee!utaishia kugongwa na wabeba mizigo,,,,alafu????usipende kuchafua watu ili uonekane mwem kama watafuta bwana jf umebuuuuug sura huna,shape huna,,,ulichopewa ni mdomo mpppppttttttuuuuiu
Wala hujatengwa dada, mimi ndo saplaya wa sare. Kesho asubuhi naenda kuchukua mzigo wa madira na mapensi. We nambie unavaa size ngapi nikuwekee.
umukagame tayari ushakufa??
Mbona mnanitenga na sare ya msiba jamani? Msisahahu masungoggles ya buluu. Nani atatupaka make up?
Huwezijua mkuu, inawezekana pia ni kweli coz mambo hayo yanawakuta binadamu na binadamu wenyewe ni sisi. Siamini kabisa kama huyu ni robot au kiumbe tofauti