Nanaa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,893
- 3,711
nataka rangi itakayovaliwa kwwnye msiba wa shost wetu
Tunavaa purple msibani.
nataka rangi itakayovaliwa kwwnye msiba wa shost wetu
Salimia zombie, kesho muungano tunaungana wapi?
aah! Ww siwez kuchepka hata sku moja tena hadharan hv?
hahahah dinazarde mamii leta popcorn tule siye!wacha movie iendelee,Hahhhahhhahahhhahhhahhha uwiiiiiiiiiii boyfriend yupii wa Insta au watsapp or viber??au Facebook
na wikiend hiii nitaichapa yote mpe kim nana au enhance
hahahaha nitafanya uchunguzi afu katoto kenyewe kajeuri balaaa
Unechepukaga gizani?
Tunavaa purple ningependa kuipata lakini nahisi kahairisha
Nna maana yangu kukuita kaka ujue umenyimwa hivo
Wewe ni my x shemeji, ila bado hatujahafikiana nikuite either ba mdogo au binamu...
naskiaga wanachepka gizan ila mm sijawahi kuchepka
hahahahaaaaa! Vp ukiniita lile lingne lileee la watu wawili na rangi nyekundu
Ili kumkomoa evelyn azidi kuchanganyikiwa swty wangu simuach,kujiua nimeghairi naendelea kula raha nikichoka namuacha naangalia wa kunioa full stop!
Wewe ulisikia vipi? Why ulikua intrested kujua kama ni gizani shemeji?
Tight ni mbanano tu vaa pensi tena pensi za njano...
Lipi hilo?
Liseme shem...
Naomba tenda ya chakula na mziki kwenye huu msiba..