Natamani kuachana na wife

Natamani kuachana na wife

Unajuaje kama unamuumiza moyo? Alikuambia? Afu hapo ulipoandika "xana" badala ya sana nimeshakuelewa. Bado we u mvulana sana. Nani alikuharakisha uoe?

Anaumia sana, nimekaa nae karibu sana na kumpa ushauri mara nyingi. Watu wamewahi kufikiria kumkimbia ama kumtelekeza kwa ajiri ya ugonjwa, nimekuwa nae kwa kipindi chote cha matatizo na nimekuwa nikifanya jitihada ili apone kwa kila anachopata. Anaumia sana na matatizo anayoyapata, kuna siku tulikaa kujadili haya matatizo na yeye anachoamini ni kuwa kuna dada ambaye nilikuwa nae pindi sijamuoa ndio anafanya haya yote, nimekuwa nikimsihi sana asiliweke hili mbele maana halina proof yoyote. Juzi alipougua tena akanambia "naenda nyumbani utaniuguza nikiwa kwetu labda yataisha haya darl", niliumia sana nikachukua usafiri haraka na kurudi Arusha ili niwe nae karibu.
 
Pole sana..na hayo mawazo ya kishetani uyaache kabisa.mimi nilipata tatizo kama hili mimba ya kwanza ilitoka,nikakaa kama mwaka nikapata ingine nikaenda hospital wakanipiga utra sound nikapewa dawa na nikapewa masharti kidogo..nikajifungua mtoto baada ya mwaka nilikuwa nableed mpka nataka kupoteza fahamu nikarudi hospital..nikapewa dawa ya kusimamisha lakini tatizo likaja kujirudia na mtoto wa pili..nikaja nikarudi hospital tena wakanipa dawa nikawa sawa..sasa fikiria na mimi ningeachwa na mume wangu kisa matatizo kama haya na sijawahi kuyapata mpka nilipoolewa ndio nimeyapata..mtangulize mungu kwa kila jambo usikimbie matatizo.tafuta gyno mzuri atawasaidia na mumueleze ukweli wotw.kuna muhimbili kina prof mgaya,agakhan shafiq au dr kaguta..regency dr charles au dr anna puna wote hao ni ma gyno all the best
 
Amina Amina, usije ukaruka mokojo ukakanyaga kinyesi, plz usiwe na mawazo ya kuwa kwenye raha siku zote no, unapokutwa na challenges na ukiweza kuovercome ndo itakupa strengths kwenye mambo magumu mbeleni, unaweza kumwacha kumbe Mungu alikuwekea jaribu kupitia mke wake ili akupime jinsi gani unathamini watu wake akiwepo mke wako, hautomuona Mungu akikujia bt kupitia watu yupo, so plz usisikillize ushauri wa kukupotisha bt be calm na umuonee huruma mke wako siku akipona mtalia kivulin
 
Very sorry bro.. lakini amini hiyo ni moja ya mitihani ya maisha, kila mmoja ana mtihani wake. Wa kwako uko namna hiyo na mimi uko kivingine hakuna aliyegraduate kwenye maisha mpaka ufikwe na umauti ndo unamaliza kazi. FANYA MTIHANI WAKO ILI UPATE PASS MARK NZURI KWA MUNGU SIKU YA HUKUMU. She is your wife.....
 
Pole sana,hospitali mmeshindwa sasa mruhusuni Mungu,mtafute Pastor Florian Josephat Katunzi EAGT City Center hakika mtayasahau haya mateso 0784 367 826, 0754 367 826, nilikusoma thread iliyopita kuwa mlishajaribu makanisani pia, ILA HII USIPUUZIE TAFADHALI TAFADHALI!! uje kushuhudia Bwana Yesu atakapokamilisha uponyaji wa mkeo na ndoa yenu.
 
Kwa nini usitafute ushauri mwingine zaidi ya kumwacha? Mimi huwa napenda sana kufuatilia mambo ya dini na nimeshaona mara nyingi tu watu wakifunguliwa katika matatizo kama yako. Mtu anaoa mke kasha mkewe anatumika na mapepo au wachawi kumharibu yeye maana si wanasema mkishaoana mwawa mwili mmoja?
 
Na siku utakayomuacha ndo mabalaa yataanza kwa upande wako. Shame on u..
 
wewe Kifulambute umeniudhi sana kuwaza kumuacha mkeo kwa matatizo ambayo yako nje ya uwezo wake!tafadhali kwa jinsi ulivyoniudhi na naamini umewaudhi wengi pia,nitake radhi na uwatake radhi wengine wote uliowaudhi na kisha URUDI NYUMBANI KWAKO UKAMPENDE MKE WAKO KATIKA SHIDA NA RAHA MPAKA KIFO KITAKAPOWATENGANISHA!
 
Kaka pole sana kwa matatizo yanayokuandama usikatae tamaa daima huenda hayo ni majaribu muda ukifika utashinda kumwacha siyo.kwa utakuwa na amani huenda utakuwa umeongeza matatizo endelea kuvumilia kaka angalia wastara maisha yake yote yamekuwa kama balaa but ndo mipango ya Mungu jipe moyo utashinda.
 
Anaumia sana, nimekaa nae karibu sana na kumpa ushauri mara nyingi. Watu wamewahi kufikiria kumkimbia ama kumtelekeza kwa ajiri ya ugonjwa, nimekuwa nae kwa kipindi chote cha matatizo na nimekuwa nikifanya jitihada ili apone kwa kila anachopata. Anaumia sana na matatizo anayoyapata, kuna siku tulikaa kujadili haya matatizo na yeye anachoamini ni kuwa kuna dada ambaye nilikuwa nae pindi sijamuoa ndio anafanya haya yote, nimekuwa nikimsihi sana asiliweke hili mbele maana halina proof yoyote. Juzi alipougua tena akanambia "naenda nyumbani utaniuguza nikiwa kwetu labda yataisha haya darl", niliumia sana nikachukua usafiri haraka na kurudi Arusha ili niwe nae karibu.

Aiseee.....
 
kumbe unampenda ukiwa na uhakika wa usiku kulala bila nguo naye, mwonyeshe mapenzi ya kweli kama unamhutaji indeeply
 
Anaumia sana, nimekaa nae karibu sana na kumpa ushauri mara nyingi. Watu wamewahi kufikiria kumkimbia ama kumtelekeza kwa ajiri ya ugonjwa, nimekuwa nae kwa kipindi chote cha matatizo na nimekuwa nikifanya jitihada ili apone kwa kila anachopata. Anaumia sana na matatizo anayoyapata, kuna siku tulikaa kujadili haya matatizo na yeye anachoamini ni kuwa kuna dada ambaye nilikuwa nae pindi sijamuoa ndio anafanya haya yote, nimekuwa nikimsihi sana asiliweke hili mbele maana halina proof yoyote. Juzi alipougua tena akanambia "naenda nyumbani utaniuguza nikiwa kwetu labda yataisha haya darl", niliumia sana nikachukua usafiri haraka na kurudi Arusha ili niwe nae karibu.
pole sana kaka angu Muombe Mungu na waone magynacologist n anasema 2 kurud hom cz ugonjwa unamtesa n hajui afanyeje thus anasema hvyo bt akirud hom ndo atazidi kuathirika kisaikolojia bora kaa nae mwnyw
 
Very sorry bro.. lakini amini hiyo ni moja ya mitihani ya maisha, kila mmoja ana mtihani wake. Wa kwako uko namna hiyo na mimi uko kivingine hakuna aliyegraduate kwenye maisha mpaka ufikwe na umauti ndo unamaliza kazi. FANYA MTIHANI WAKO ILI UPATE PASS MARK NZURI KWA MUNGU SIKU YA HUKUMU. She is your wife.....

Thnx kwa ushauri...mjumbe mmoja kanambia manzese kuna mchungaji mzuri nafanya nipate number zake ili nipange kuonana nae.
 
Mkuu usimuache matatizo tumeumbiwa binaadamu,she is also a human being,anahitaji care na upendo kama ni mkristo naamini mlitamka yale maneno kanisani katika shida naraha...,utajiri na umasikini,make full use of those words,cha msingi tafuta njia mbadala kama unaona njia za hospitalini hazikusaidii ila simaanishi ushirikina,hata dawa za kienyeji somotime they do help
 
Thnx kwa ushauri...mjumbe mmoja kanambia manzese kuna mchungaji mzuri nafanya nipate number zake ili nipange kuonana nae.

Amina. Haya sasa ndo maneno ya kiumeni. Lipinge sana pepo la kumwacha mkeo.
 
Pole sana,hospitali mmeshindwa sasa mruhusuni Mungu,mtafute Pastor Florian Josephat Katunzi EAGT City Center hakika mtayasahau haya mateso 0784 367 826, 0754 367 826, nilikusoma thread iliyopita kuwa mlishajaribu makanisani pia, ILA HII USIPUUZIE TAFADHALI TAFADHALI!! uje kushuhudia Bwana Yesu atakapokamilisha uponyaji wa mkeo na ndoa yenu.

Nashukuru sana....nampigia sasa hivi, unajua katika matatizo watu wanasahau kuwa shetani hufanya kazi kubwa, nimejaribu kuongea na wife na kwakweli itabidi tu tuokoke hakuna njia nyingine...
 
Rafiki usifikirie suala la kumuacha mkeo kwani wewe mwenyewe uliapa mbele ya mashahidi na kusema utakuwa naye kwenye raha na shida iweje leo uone usumbufu mwenzio anapopitia katika matatizo hayo na uone kero kwako?
JE ULIMPENDA KWA DHATI NA DHAMIRI TOKA MOYONI MWAKO AU ILIKUWA GERESHA TU?
JE UKO TAYARI KUVUMILIA HADI MWISHO WA DAHARI YANDOA YAKO AU UNAMFITINISHA
MWENZIO NA KUMUONA AFAI SASA?

Tambua fanya upembuzi yakinifu na mpeleke kwa wataalamu wengine wa masuala ya wanawake watakusaidia au
ikiwezekana niPM nitakuelekeza kwa doctor ambaye atakusaidia kwa jambo hilo najisia huzuni na uchungu kuisikia unataka kumuacha mkeo kisa tatizo hilo kwani yeye alipenda kuwa hivyo si ugonjwa tu umempata bestito
USIFIKIRIE HATA SIKU MOJA KUMWACHA MKEO KISA UGONJWA HUO
 
Thread Closed!!!

Naomba kwa Mwenyezi Mungu huyo mwanamke asiye na hatia asipite hapa akaisoma hii thread.

Watu wote wenye mapenzi mema na tuseme AMINA.

cc charminglady

swahiba... huyo kijana anabidi achukue mkewe wamrudie Mungu

haya ya kuachana huwa hayatatui tatizo, si ajabu tatizo ni huyo mleta mada.... kuna wengine wanakua kwenye historia ya mambo ya ajabu

warudi kwa Mungu awape tiba
 
Back
Top Bottom