Kwanza pole mamii!!!.
Naomba usome hapa kwa umakini Mkubwa sana Mtoto jack 1.
Kwanza nikusihi kwamba hakuna haja ya kujiua kwa sababu tu huyo jama amekuacha,ama amemchukua jirani yako.Hebu fikiria ukifa utakuwa umemsaidia nani,je utakuwa umepata suluhisho la tatizo lako?,je huyo mchumba wako utakuwa umempa funzo gani,Jibu katika hayo yote ni hapana!!!!!.
Pili nakuomba uhame hapo na ukaishi ehemu nyingine,halafu ukae chini ufikirie nini chanzo cha huyo mchumba wako kuamua kukuacha na kumchukua jirani yako tena yawezekana alikuwa ni shiga yako!,ukishabaini kosa lililosababisha uachwe ulirekebishe vinginevyo utaendelea kuachwa usipolitambua tatizo.
Tatu,wewe hukuwa chaguo la huyo bwana wala wewe hukuwa chaguo lake,amini kwamba chaguo lako lipo na utalipata siku si nyingi lakini kama utakuwa umejifunza na kujua wapi ulipokosea,Wasukuma kama sisi tunasema Everything done in this world,done by hope,so hata wewe jipe moyo kuna siku yako inakuja ambapo machozi yako yatfutwa tena huyo jama atakufuta na yawezekana yeye ndiye akajiua!.
Wakati fulani wakati nikiwa katika matatizo mazito sana katika maisha yangu na kujikuta nikiwaza kitu kama hicho ulichokiwaza nilishauriwa na rafiki yangu mmoja kwa maneno yafuatayo:Think possitive & and thing will go right.am sure that this will help u create a possitive change in ur life.This concrete work on self esteem and success will help u learn how t break the worry habit,get other people to like u,avoid "the jitters" in ur daily work,bealive in ur self & everything u do,develope the power to reach ur goals,and so much more,remember to respect everyone,dont forget when bad things hapen to u God is big enough to handle ur questions and strong enough to deliver u from pain and doubt.
Naomba nimalizie kwa ushauri huu ambao uliwahi kutolewa na Babu mmoja wa kisukuma baada ya kujikuta amefikishwa sehemu moja inaitwa GAMBOSHI ambapo waliamua kumuachia kwa sababu baada ya kuyasema maeneno haya hakusema lolote,Silent lips may avoid many problem but smiling lips may solve many problems.So kwako pia nakwambia hivi,Always have a smile on ur face in this beatful jorney called life my dear.
Kama unahitaji ushauri zaidi unaweza ukani-PM.