Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,272
Wewe mtoto sisi tunaomba tuishi miaka kama ya kobe, wewe unataka kukatisha maisha yako. Maisha matamu wewe, kwani huyo jamaa umezaliwa nae; mbona tupo wengi tu. Hebu nitwangie PM tuanze upya, next time ukija tena hapa Mwanza tukutane!.