habi alex
Member
- Dec 1, 2011
- 90
- 12
Mshukuru Mungu huyo jamaa hujaandikiwa, kwani inaonekana hata kama mngeoana lazima ndoa yenu isingekuwa kama unavyofikiria, achana nae, wewe naamini ni msichana mzuri, asikusumbue yeye zilipendwa wako au mwanamke wake.
Kuwa jasiri, muombe Mungu atakupa haki yako na utafurahi.
Huhitaji kuhama chumba wala kuona aibu au kufuatilia taarabu zao.
Chapa kazi, kuwa busy na mambo yako naamini atakuja kugundua kuwa kafanya kosa kubwa na inawezekana akakupigia magoti lakini atakuwa amechelewa.
Huhitaji kumpigia simu we anza mstakabnali mpya kabisa.
Hujanyang'anywa uhai hilo ndio kubwa bado unayo maisha yako na fursa nyingi,songa mbele kishujaa.