Original Pastor
JF-Expert Member
- Nov 14, 2007
- 1,274
- 50
Wana JF poleni na majukumu ya siku nzima sasa naomba ushauri
Nataka kununua TV LED 55 inch kwa bei ya dola 500 je nirahisi ukilinganisha na Bongo? kwani huku usafiri mpaka bongo ndio dola 500 au naibiwa? kwani mtandao unaitwa www.alibaba.com sasa nimeona kiingia kwenye google na kusearch TV LED utaona makampuni kibao sasa nikalipata moja du naombeni jibu wakubwa asanteni
Kama naibiwa nijua