Prisoner
Senior Member
- Jan 26, 2010
- 119
- 0
Mimi nakushauri LED TV Sony inamusic fresh na inadumu? ukikosa LG Inch uchukue 40 mpaka 46 ndio sahihi kwa nyumba za kibongo na pia hizi TV za LED kuna kifaa kinatakiwa kifungwe cha kupunguza joto ili iweze kupiga mzigo muda wote sasa waulizie hicho kama wamefunga. LCD kimeshafungwa tayari sasa uwamuzi ni wako. waulizie Kivuko nawakubali au topshop. Ila topshop wanabei sana