Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,249
- 17,996
Sikujua kama zipo 3Miracle in the cell
Originally South Korea, then kuna ya Phillipine na Turkey mie nimeiona ya Turkey, nililia kwa kweli,
Miracle in the Cell no 7
Sikujua kama zipo 3Miracle in the cell
mpaka maji yamkaukeKuna movie ya Suniel Shetty inaitwa Dhadkan. Jaribu hii movie ila ili ulie unatakiwa uwe na concentration na ukimya wa kutosha. .
A uangalie nyimbo za kumuomboleza Magufuli na movie ya msiba wake utalia sana unaweza lia mpaka ukakauka maji mwilini. .
The Price ya Kinegeria, ni ya muda mrefu kidogo. Enzi hizo naitazama miaka ya 2000 mwanzoni, ilinihuzunisha na kunitoa machozi
Nyingine ya Kijapan ya "Hachiko-a dog's Tale."
Based on true events
Maombolezo ya Jembe Magufuli Pale TaifaYaani nikiwa naitazama ifike hatua mpaka nitoe machozi ni movie gani inaweza nitoa machozi.
Nsyuka hii film si yakutoa machozi ni ya kuogopesha-Nsyuka
-Chite Ukae.
NeriaYaani nikiwa naitazama ifike hatua mpaka nitoe machozi ni movie gani inaweza nitoa machozi.