Nataka Rais Magufuli ashindwe

Status
Not open for further replies.
Inawezekana kabisa wengi wetu humu tumeathirika na Viroba, kwa uchangiaji huuu sion staha na U great thinker zaidi ni Uhuni na Usela mavi au Kutafuta umaarufu wa vitu vya ovyo ovyo.
Hilo ni tatizo la nchi nzima. Kuanzia juu hadi vitoto vidogo. Na wewe pia ni mhusika mkuu naona maneno yamekutoka bila hata kujitambua.
 
Ashindwe, Alegee, Anyong'onyee na asiamke tena . labda kama atatubu dhambi ya kutupeleka zama za zidumu fikra za Mwenyekiti
 
Km wewe Mungu upangalo linakuwa bac atashindwa
Wewe wataka asisbindwe kutifunga vinywa ? Soma kwa utuo. Anaombewa ashindwe kwenye kuendesha taifa kidikteta na kugawa haki ya kufikiri na kusema kwa wapendwa wake wachache na kuwasakizia majirani asio wapenda ili mradi waumizwe kwa kutafunwa na mbwa wenyewe au waumie wakiwakimbia Mbwa
 
Lakini pia isije kuwa Max anatumika kama instrument ya political diversion ili tuache kuhoji maiti wa kwenye Sandarusi MTO Ruvu na kutoonekana kwa Wapendwa wetu
 

Police kazi yao ni kuenforce sheria, sheria zinatungwa na bunge na kusainiwa na Raisi. Ni bunge lipi lilipitisha sheria hizi za mitandao? Na Raisi gani alisain sheria hizi?

Msiwe wanafki Magufuli anaingia vipi hapa? Polisi wana enforce law ambazo magufuli kazikuta.

Acheni unafki.
 
Unatumia kipimo gani kujua kuwa taarifa ya JF memba ni uwongo ila ya waziri au Rais ni kweli ?
Hoja ijibiwe kwa hoja
Kutumia virungu au Mahakama kujibu hoja ni utoto
Kama umekuwa Attacked in person na JF member ni kitu tofauti na kutopenda hoja inayokinzana na mtazamo wako.
Hata swali la kipumbavu kama lina Sifa ya kuwa swali linatakiwa kujibiwa.
Hii hali ya kutaka fikra zitoke point moja tu ni ushetani uliopitwa na wakati
 
Ndio maana Nagufuli anaamua kuwabana watu wajinga kama ninyi sasa ishu ya viwanda hapa inatoka wapi? Mpinge Magufuli kwa hoja siyo unakuja hapa kwa vimaneno vyako vya jejeli alaf eti unasema ndio unakisoa
Viwanda ndiyo agenda kuu ya nchi yetu kwa sasa wee wa wapi? Sasa kama hutaki tuzungumzie viwanda unataka tuzungumzie nini basi?
 
Inawezekana kabisa wengi wetu humu tumeathirika na Viroba, kwa uchangiaji huuu sion staha na U great thinker zaidi ni Uhuni na Usela mavi au Kutafuta umaarufu wa vitu vya ovyo ovyo.
Nimeona u GT wako kwenye andishi lako. Keep it up
 
Tanzania siyo Misri. Usipoipa msaada Misri unataka IS na Muslim Brotherhood washamiri. Madhara ya IS kwa Ulaya ni zaidi ya athari ya waandishi wa habari kusweka ndani bila hatia.

Tanzania mkinyimwa misaada, Amerika na Ulaya wataathirika vipi?
 
Read between lines. Context context context ...
 
Hoja yako ni self defeating ...sio mbaya lakini kuna vitu...
Kama sio mbaya atakuwa sio mbaya Tu. Sio mbaya lakini mbaya ...self defeating ;a statement
 
Vijana wa Kitanzania mnaongoza kwa UNAFIKI ulimwenguni. Unatumia Fake ID humu JF wakati huo huo unahoji Uhalali na Utendaji wa Rais wa Jamhuri ya Muungano! Ama kweli wapiga Dili mmeshikwa pabaya.
Your Id tells a lot
 
Aliyezisaini hizi sheria kwa sasa keshageuka malaika na mmojawapo wa marais bora kabisa tuliowahi kuwa nao tangu tupate uhuru. Walikuwa wanamwita Mkwere Mr. Dhaifu Vasco da Gama wanamtukana mitandaoni anawachekea na kuwaita ikulu kunywa chai kumbe ndo anatumaliza. Leo utekelezaji wa sheria zake umeanza povu kila kona mwenyewe yuko zake Msoga anatumbua. Mitanzania (na mimi nikiwemo) hovyo kabisa!
 
Kwa maoni ya wadau inaonekana watu wameshaanza kumchoka mh rais wetu hivyo basi ni jambo la kujihoji kwa nini raisi wetu mpendwa wamchoke ghafla ila nakumbuka mzee mmoja wa ccm bila kukosea alishawai kusema jf ndiyo imeimaliza ccm na akawashauri vijaba wenzangu wa ccm tujiuunge kwenye mitandao ya kijamii na tujibu mapigo kwa hali hiyo siwez kushangaa na haya yanayo tokea.
 
Kwa nini usimdindie wewe mmeo na watoto wako nyumbani kwako mpaka utuhusishe sisi. Chuki binafsi ni matapishi tu unayotuletea hapa. Hatuna muda nazo. Kama umeshindwa maisha hapa duniani kwa nini usijaribu ahera !
unamuda umependa na ndio maana umejbu
 
Watu wa aina yako ni wengi ktk Africa na Tanzania binafsi sioni shaka inawezekana upo kazini ni sehemu ya maisha yako.
Kwa kizazi cha aina yako Africa na Tanzania inahitaji miaka 10000 kufikia Dunia ya kistaarabu.
Sasa ndugu katika akili ya kawaida hili jukwaa la siasa unaona kuna u-great thinker wowote(Niko tayari kukosolewa)
 
Uhuru unaotakiwa ni sawa na wa kujiunga JF Mkuu. Kwa kuwa kungekuwa na usaili kuhusu reasoning wewe usingejiunga shukuru ni garbage in garbage out
Unachosema kwenye andiko lako ni sensorship jambo ambalo linapigwa vita
Wajua kuwa naweza ongea jambo ambalo kila MTU atakuwa na tafsiri yake kutegemea rationality ya kila mmoja. Wengine waweza srma ni nonsense huku wrngine wakisema ni no nonsenses
Ukiweka mipaka utakuwa ama unawafanya wenye uwezo wa kutambua no nonsenses wasiweze kunisoma nikabaki kusomwa na wenye malyenge ya kuona non senses Tu
Waafrika wengi na watz wengi sana tunaongozwa na machale (imagination ) kuliko fikra (reasoning ) rejea andishi lako na utafakari tena
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…