Nataka Rais Magufuli ashindwe

Nataka Rais Magufuli ashindwe

Status
Not open for further replies.
Ee Mungu Baba mpe rais wetu afya njema na maisha marefu na ujasiri wa kutimiza lile kusudi ulilompangia ukimkinga na hila husda pamoja na fitina za yule mwovu na mawakala wake wasiolitakia mema taifa letu kwa kujua au kutokujua...
Ameeeeeeeeeeen
 
Hatuwez kuwa na taifa la kambale lilikosa nidhaamu wakat unadai au unatimiza haki yako ya kikatiba ni lazma sheria na taratibu zizngatiwe uhuru usio na mipaka ni vurugu huwez kukurupuka baada ya kula maharage yako huko uje utukane watu kwa kigezo eti unakosoa pumbafu sana...
Watu kama nyie ndio wa kufundisha adabu naona baadh ya wazaz wanashndwa kutimiza majukum ya kulea watoto na kuwaachia mabeki tatu matokeo yake ndio kutuletea wapuuz kama mtoa post na genge lake...
..MAGU TUNYOOSHE TU BABA MWENDO HUOHUO AU ONGEZA KIDOGO..
Mazoea ni mabaya na inaonekana wewe ni mfu kifikra. Jua kwamba mtu aliyezoea kufanya ubaya kwa watu wake inafika mahala hukosa imani hata kwa mpambe wake. Wewe tuone sisi kama wapuuzi lakini kuna siku utakumbuka pindi utakapogeuziwa kibao
 
Tatizo la viongozi wa tz wanataka tuanze kuwapenda na kuwaamini hata baada ya kutuingiza mkenge kwenye mikataba mibovu ya madini, Kujineemesha na kuuziana mali za umma (Nyumba za serikali) na kufumbia macho uhalifu.
Ni sawa na yule waziri wetu wa Fedha au wa viwanda leo atoe kauli yoyote alafu tumuamini kwa asilimia 100!!
 
Hivi kuna mburul@ bado wanaendelea kumuombea..???...The devil himself
Hili ni moja wapo ya Jaribu katika mwaka huu, Kumuombea jamaa yetu inahitaji uwe na imani kali sana. Ni sawa na kuwaombea watz. Kuna watu walikua wanaliombea Taifa ila kwa sasa wameacha wanajiuliza Mungu ana mpango gani na hawa watu wake.
 
Ndio maana Nagufuli anaamua kuwabana watu wajinga kama ninyi sasa ishu ya viwanda hapa inatoka wapi? Mpinge Magufuli kwa hoja siyo unakuja hapa kwa vimaneno vyako vya jejeli alaf eti unasema ndio unakisoa
Kumbe unakiri kweli ameamua kutukandamiza? Kwanza nahisi kama hujielewi unazungumza nini wewe unasema tumpinge kwa hoja wakati yeye hataki kupingwa hivi nikueleweje? Umekunywa viroba?
 
Simpendi huyo jamaa basi tu, dua zangu za kufeli mpaka sasa naamini mungu kazipokea, kishafeli katika Kila mipango yake, tunamuhesabia miaka 3 tu ijayo tukammalize kwenye sanduku,
Haswaa ndiyo maana yake
 
Naongelea fact sio possibility ...kuwa na imani ni kucheza kamali ya upande mmoja kwamba huna cha kupoteza...kama kuamini kuna maisha baada ya maisha.. huu ni uzembe wa kufikiri.... na wazungu tunaong'ang'ania tamaduni zao wanajenga paradise yao hapa hapa wanakula goodtime balaa.... wewe subiria goodtime binguni baada ya kifo....

ndio maana wametupita mbali sana.

Tunawaza kunyamazishana wao wanawaza kuifukua gesi dhahabu urani, na nyinginezo.. kuja watakuja tu kama cha kuwaleta kipo bila kujali hali tuliyonayo. Kongo wana vita visivyo isha but jamaa wanakamua dhahabu kwenda mbele.
Kwahiyo una amini kua kwakua wapi hao basi hatuitaji wawekezaji wengine
 
Mimi natamani January makamba, nape nnauye na wote walioshadadia sheria ya mitandao wafe tuwazike tumalize shida. By the way nna maono watakufa soon

Na jela siendi na nisharopoka maono ya Lema
You are insured by mafia,
If they beat you,
We will beat them,
If they beat us,
We will beat them with human sized Zucchini
🙂🙂.
 
Watu wenye hekima huwa wanawaonya kina Maxence kuhusu kucheka na watu wanaongea pumba na matusi kupitia nyuma ya keyboard lakini hawakusikia, ndiyo malipo ya kulea ujinga wanaanza kuyapata. Watu wanashangaa nini hata Marekani huko mnakotaka kukimbilia ukimbizi mitandao mikubwa kama yahoo inapelekeshwa na serikali itakua hapa? Watu tujifunze kuwa uhuru una mipaka yake, maana kama una uhuru wa kufanya lolote basi ua mtu uone kama huo uhuru wako utafuatwa, sentensi ya Uhuru inasema "una uhuru wa kufanya lolote ili mradi usivunje sheria" kwanini waliongeza hilo neno kuvunja sheria??? lakini MSIMISEKE SENIOR hapa kuna wengi wanajifanya wanajua huko hawajaverify hizo personel details zao. Mbaya zaidi wanaishi bongo na wanatumia mtandao wa bongo. Kwanini wasiende kutapika hizo nyonga zao katika mitandao ya kimataifa maana huko ndiko wataianika serikali labda na wao kiingereza kinawashinda.
Wewe Gamba unaongea ujinga gani!! Ulishawahi kuona wapi au lini mtu ameikosoa serikali ya US au kumtukana Obama akafuatiliwa na CIA, FBI au Polisi wa US!? Wewe kwa hizo akili zako za zilizo fungwa na CCm unadhani viongozi wa US wana muda wa kufuatilia illusion and rumors kwenye mitandao!?
 
Jakaya aliandikwa sana humu lakini alivumilia kwa kuwa baadhi ya maoni yalikuwa yanajenga Nchi. Sasa huyu bwana anapenda kuangalia hili jukwaa halafu anashindwa kuhimili yanayoandikwa. Kama hana uvumilivu humu jukwaani anafuata nini, ndiyo haya ya kuanza kututafuta. Lakini akumbuke kuna vigogo humuhumu wanaompinga ilhali wako naye siku akiona majina yao jasho litamtoka
 
Inawezekana kabisa wengi wetu humu tumeathirika na Viroba, kwa uchangiaji huuu sion staha na U great thinker zaidi ni Uhuni na Usela mavi au Kutafuta umaarufu wa vitu vya ovyo ovyo.
Na ww uachage umbea mtaje huyo aliechangia bila staha tumjue?
 
embu jaribu kufikiria hili,wewe unasingiziwa au unazushiwa jambo ambalo halipo,mfano unaambiwa jambo baya ambayo litakuchukia na hata kukukoseshea stasha mbele ya jamii,utachukuliaje? na wakati huo jamii tayar nimeshaanza kuamini juu ya hilo jambo na kuanza kuwa na mihemko nalo,si utachukia siyo? au utafurahi na kuona ni jambo la kawaida? tafakari kwanza usione kawaida wakifanyiwa wenzako ,wewe je?
Ndugu kusingiziwa ni jambo la kawaida kwa kila mtu na ktk maswala ya siasa tegemea lolote kwani ukipotezea shida iko wapi?hakuna anaependa kusingiziwa lakin ina maana wewe hua unagombana na kila mtu anaekusema vibaya wengine si unaishia kucheka tu maana hawajui watendalo.So lazima tuombe mioyo ya uvumilivu maana utawafunga wangapi kisa kusemwa noooooooo and not at all.
 
Hakuna kuremba wala kuogopa mtu , JF idumu, maovu yafichuliwe udhaifu tuuseme hadharani, kwanini tuogope?
 
Wewe Gamba unaongea ujinga gani!! Ulishawahi kuona wapi au lini mtu ameikosoa serikali ya US au kumtukana Obama akafuatiliwa na CIA, FBI au Polisi wa US!? Wewe kwa hizo akili zako za zilizo fungwa na CCm unadhani viongozi wa US wana muda wa kufuatilia illusion and rumors kwenye mitandao!?
Mkuu huyo unaweza kuta ni mama wa watoto watano,mme wa mtu mmoja,vimichepuko serengeti sita,kadi ya lumumba na mkopo sugu usiolipika sacos yao huko lumumba ndio inabidi ajiwehushe kuposti ushuzi humu.
 
Thinking outside the box.
Aliyeandika uzi huu ana lengo baya na jamii forums.
Hajauleta kwa bahati mbaya.
Hata wanaochangia kwa matusi bila staha nao ni hivyo hivyo.
Justification inatafutwa.
Very unusual watu kukosa woga na adabu kiwango hiki.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom