Nataka Rais Magufuli ashindwe

Status
Not open for further replies.
Nashukuru kwa ufafanuzi... imani hapo tu ndio huwa namkumbuka athari za ujuo wa wamishionari jukumu lao kuu kutuandaa kutawaliwa kifikira kwa kigezo cha imani... ukipigwa kofi shavu la kulia geuza na kushoto. Wakati wao ukimgusa mwenzao mmoja wanawakaanga nyie 1000 anyway baki na imani yako wengine fighting for our right and reputation ndio maisha yetu.
 
Hivi Dunia ikisikia kua rais hayuko tayari kushirikiana n.a. upinzani unajua impact yake kiuchumi n.a. kisiasa?
Wawekezaji wanaotokea kwenye nchi zenye Demokrasia wakisiakia kua vyama vya siasa vimekatazwa kufanya kazi zao za kikatiba unajua impact yake katika uwekezaji n.a. Uchumi kwa ujumla?
Rais anaendelea kuifanya Tanzania kua hostile country for capital importation /foreign investment kama hujui ilo
 
#Ashindwetu#
 
Wajukuu zako watakuja kukulaumu sana.kama babu zetu wangekuwa waoga kama wewe.mpaka leo hata uhuru huu wa bendera tusingeupata.

Sijaamini kama hayo uliyoandika ni ya kwako! Yawezekana hujui maana halisi ya 'woga' au 'uhuru'!

Ni mtu mwehu, teja au punguani awezea kujifanya jasiri pasipo kupima athari zake!

Ni mtu asiye mstaarabu, kutokujua mipaka ya "uhuru"!
 
"Mtu mwenyewe kwanza hafai kuwa rais. Hana haiba ya urais, hana hekima wala busara zinazotakiwa mtu wa kiwango cha rais kuwa nazo. Kila akifungua mdomo wake mtu unaanza kuombea asiongee maneno ya kuaibisha"

Daa we jamaa ni noma...hadi nmeogopa kwenye hiyo paragraph
 
Mbona mnatishatisha watu, ili iww nini? Kwani mmezuiwa kujenga hivyo viwanda? Au ndio mnatafuta sababu ya kujitetea. Na hamtajenga hata kiwanda cha toothstick kwa woga huu mliouanza mapema hivi.
Ndio maana Nagufuli anaamua kuwabana watu wajinga kama ninyi sasa ishu ya viwanda hapa inatoka wapi? Mpinge Magufuli kwa hoja siyo unakuja hapa kwa vimaneno vyako vya jejeli alaf eti unasema ndio unakisoa
 
Nyie nyote mnaompinga JPM ndiyo mtashindwa vibaya sana kwakua mnashindana na mamlaka itokayo kwa Mungu.Huyo aliyekamatwa kakamatwa kwa mujibu wa Sheria na si kwa maagizo ya JPM.Tuache Sheria ichukue Mkondo wake na si kila kitu kumsingizia Rais.
Ni lini Mungu alihusika kwenye uchaguzi hapa nchini,acha uongo na usiwe unamhusisha Mungu kwenye vitu vya aina hii.
 
..umekumbusha vita ya majimaji mkuu,sema saa hizi tushashtuka risasi tunajua hazitageuka maji!
 
Ashindwe kwa lipi sasa?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…