Nataka Niwe na Wewe.... Le Mahabat...

Nataka Niwe na Wewe.... Le Mahabat...

hahahahahahah kama ni mambo ya kumweleza kwanza bhana acha tu basi, ilikuwa mambo yetu ya wanawake ya boma.

BTW new couples ni ngumu kuepusha hili la kutoa siri na kama ataambiwa naghairi mkutano.

CC. Daby
Mimi sina neno nimetoa baraka zote... msiniangushe tu maana mimi sijawahi kuwaangusha
 
Let's ride together Dady.. .. you know I love changing gear and the motor car should be manual....
hahahahahahahahah be cautioned not to use the rear gear

kikikikikkkkkk
 
Haha yaani kasie kamteka Daby na sitaki hata kutafutwa nifiche vizuri tu haha

Hahhahhaha Daby.. .... unapenda mchezo wa komborela eeehhh.. ..

Kidali poo aahahahaaa haya ingia ndani ujifiche fasta wasikuone....
 
Mimi sina neno nimetoa baraka zote... msiniangushe tu maana mimi sijawahi kuwaangusha
wewe tena shem, shaka ondoa but sitaki akuambie ze venue maana utazuka kama mzuka
 
Tulipewa kwq upendo tuvitumie kwa upendo tena kwa wapendwa.
umeonaeee tena bureeeee,

ila shem hapo umehama topic, ni kitu gani hicho tulipewa kwa upendo?

kikiki teh teh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom