Nataka nimwache, ana kifua cha flat screen

Hivi ni likizo ee!? Tabu tunayo, mpaka shule zikafunguliwe
 
we Asha boko atakufaa sana, ila sidhani kama ni tatizo ni maumbile tu hayo ila kila mtu na interest yake,nina mshkaji wangu mmoja (mwanaume) yeye anakwambia mwanamke akiwa mwembamba hata awe mzuri vipi hamtaki anataka mnene hata kama hana shape anakwambia mifupa haimvutii ila nyama nono aaaah!
Huyu ni baba angu kabisaa
 
Mmh sema tu ulikua una drive kifua cha mtu wewe
Leo naona ramli yako imegoma kabisa,yaani hooolaa kabisa,bado sijapata pozo la moyo,ndio maana najitahidi kutafuta wa kunidekesha lakini wapi,naona gundu limeniandama,coz kila naempata ananiambia bado anasoma na bla bla bla nyingi.
 
Mweeh... Basi ngoja nilale nshaanza kurembua apa
 
Ok basi lala mtoto mzuri,lakini umenitamanisha sana kuhusu kurembua,yaani mrembo akirembua huo ndio ugonjwa wangu,basi nitakuletea zawadi ya wine aina ya Dom Perignon ili urembue zaidi,anyway nisikuchoshe na pia mzee anakusubiri RV ukampe haki yake,na na ight, CIAO.
 
He heee
 
Unaweza kumwacha kisa kifua flat, ukampata mwingne kifua kimejaa ila ananuka uke, anagawa mno, mvivu kitandani nk. Tulia ndugu yangu mambo ya wanawake ukianza kumtafta mwenye sifa zote utapasuka kichwa
 
Back
Top Bottom