KARANJA 007
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,990
- 2,521
Haya basi ,ujue nitakuwa mgeni wako au vipi?Unataka ujuwe njoo pm na bx
Haya basi ,ujue nitakuwa mgeni wako au vipi?Unataka ujuwe njoo pm na bx
Mtarimbo
.....valentina mi nikazan we ni kabint kadogo.....Sio kutongoza bhana,ni kutafuta faraja tu.Khaaaaa! Yaani we mdau unatongoza kimzaha mzaha aisee wewe ,,hahahahahahhaaaaaaa haya bana
Usijali mamii,mimi ni mtu wa kuwaondolea stress ma auntie,yaani nataka niwasuuze roho zenu mpate ile kitu roho inapenda,yaani laini kumeza kama divai ya kanisani.hahahhahaha jamani you are very fun.
thanks and nice evening
Aise na uzee wote huu wadhani mi mdogo!![]()
.....valentina mi nikazan we ni kabint kadogo.....
Kumbe unajua aya mambo??
Tatizo ni mchawi sana,huyo ni mwanga.Mmmh! Inabid niombe msaada kwa FBI nimnase
Mshedede ni huyu nyoka wangu asiye na macho,yeye anamdomo tu bila meno,makazi yake ni nyuma ya zip ya suruali yangu,pia anakalia mayai mawili.......mshedede ndo nn?
Imesomeka mkuu........Mshedede ni huyu nyoka wangu asiye na macho,yeye anamdomo tu bila meno,makazi yake ni nyuma ya zip ya suruali yangu,pia anakalia mayai mawili.
Nafahamu yote hayo,ukizingatia nilichukua medical course pale Bugando Mwanza,nili specialise kwenye Gynaecology kwa miaka mitatu bila kumalizia mwaka 1,nikaacha nikenda kusoma engineering abroad,anyway back to the topic,kuduu ni kila siku bhana,labda mkisha kuwa wazee(retired pensioners) hapo sawa.kuna mahali umegusa kwenye point ila sihitaji kujieleza sana ila ndo hivyo tarehe mkuu zinatumika.
Na sio siku zote jaman kuduu. kumbuka danger days ni chache sana kwa mwezi.
keep that in your mind also.
Basi poole katoto kazuri enh hebu tema hapa tumchape huyu mbaya enh,yaani we Valentina hakika wewe ni mtoto wa mjini kinoma,nimekuzimikia kichizi ile mbaya,na ujue mimi najua kupiga ramli vizuri tu,lakini sio mchawi,na pia najua kusoma viganja,upo hapo?Unanibembelezaje kibabe hivo bana
Heheheheee we Mrembo mbona umenigandisha,sisi vijana wa kitaa tuna msemo wetu,eti demu flani kaniweka gadi(guard) yaani kama korokoroni,nimesubiri weee wapi demu hatokei daah basi baridi yangu,mvua yangu,giza langu,uwoga wangu,daah demu hajatokea,sasa ndio mimi ,kila nikichungulia PM nipate maelekezo ya ile thread, wapi nakuta holaaaa,sawa mamii acha nikonde mie.Unataka ujuwe njoo pm na bx
Bora ,una huruma na mimi,yaani umenisaidia kujibu,maana nimejaribu kusema ni nyoka asie na macho,ana mdomo usiokuwa na meno,akila huwa hamezi ila anatapika na pia anakalia mayai mawili.Mtarimbo
He hee afu wewe nakufananisha flani hiviBora ,una huruma na mimi,yaani umenisaidia kujibu,maana nimejaribu kusema ni nyoka asie na macho,ana mdomo usiokuwa na meno,akila huwa hamezi ila anatapika na pia anakalia mayai mawili.
Sio mzee kiivyo bhana,hapo ulipofika ndio patamuuuu,coz full experience,yaani mauzoefu hadi mi nazirai.Aise na uzee wote huu wadhani mi mdogo!
Nashindwa kuelewa km unampenda binti wa watu au unamtaman.kwan matiti kitu gan km anakidhi vigezo vyote unavyo viitaji?
Sikia kaka km unampenda hiyo dada hana tatizo kabisa ila ni maumbile nae ndivo alivo,hatuwez wote tukawa sawa lkn km umemtaman bac anza kumtafutia sababu.
Upendo hauhusudu,hauhesabu mabaya,hautakabali,haujivun nk.
Hata ww unamapungufu yakwako hajamwambia mtu amekaanayo moyon na ameamua kuridhika na ww,we umekuja kumsema huku si vizur kabisa