Nataka nimwache, ana kifua cha flat screen

mhhh labda ninyamaze tu maana shughuli ya huu upande wangu haifai kuwa kila siku best.

Maybe inategemea maana nakuwa kama nimetembea kilometa mia moja kwa siku.

so mapunziko lazima.
Basi una bahati wewe,maana wenzio manalalamika kila siku,eti ooh huyu wangu hanifikishi ooh huyu wangu hajali hisia zangu,sasa wewe unapata ziada halafu unalaumu.
 
silaumu kabisa ila nimesema ninyamaze cause malalamiko sina kabisa jaman.
 
Basi una bahati wewe,maana wenzio manalalamika kila siku,eti ooh huyu wangu hanifikishi ooh huyu wangu hajali hisia zangu,sasa wewe unapata ziada halafu unalaumu.
mimi siwezi laumu aisee, nashangaa wanavyolalamika kila kukicha.

cha msingi wanatakiwa wawe huru na kuelezena panapotakiwa kuguswa baaasi. Kileleni watafika tu hakuna namna.

hahhahahahahhah
 
Ok ,sasa nimeelewa,yaani umenyamaza huku unafurahia moyoni,WOW,.,,...
yap, unajua ukisema sana naweza viziwa na mimi nije na malalamiko hapa.

Wanasema siri ya ndani ni ya wawili na si vinginevyo.
 
mimi siwezi laumu aisee, nashangaa wanavyolalamika kila kukicha.

cha msingi wanatakiwa wawe huru na kuelezena panapotakiwa kuguswa baaasi. Kileleni watafika tu hakuna namna.

hahhahahahahhah
Action and reaction are equal but opposite in magnitude and direction,hilo nalo neno ha haaa.
 
yap, unajua ukisema sana naweza viziwa na mimi nije na malalamiko hapa.

Wanasema siri ya ndani ni ya wawili na si vinginevyo.
Basi add me to your list au vipi?,siri hapa ni mahala pake au tuseme its my surname.
 
mimi siwezi laumu aisee, nashangaa wanavyolalamika kila kukicha.

cha msingi wanatakiwa wawe huru na kuelezena panapotakiwa kuguswa baaasi. Kileleni watafika tu hakuna namna.

hahhahahahahhah
Wengine hata waguswe rohoni lakini wapi,ni numb kwa kwenda mbele,labda waende kinyume,maana shetani hachezi mbali,kazi yake kuziba huku halafu anafungua mlango ungine.
 
mhhhh watakuwa na shida hawa
 
Wengi wenye flat screen kifuani, chini wanakuwaga na viuno na tako zito la uhakika ila kama pia uani ni flat screen duh sijui atakuwa kamkosea nini muumba.

All in All kama unampenda kweli hilo ni jambo dogo tu.
kama ni hvyo ulvyosema alete kwangu huo mzgo haraka
 
Back
Top Bottom