Nataka nimwache, ana kifua cha flat screen

Nataka nimwache, ana kifua cha flat screen

Alafu uje na chapaa ya kutosha[emoji387] [emoji389] [emoji126] [emoji108]
Chapaa hapa ndio kwao au naweza kusema chapaa is my surname,na rangi yangu ni rangi ya benki,ushindwe wewe tu.Tatizo siyo chapaa,tatizo ni jinsi ya kuzitumia.
 
OK let me check but mfuko unasoma?.[emoji108] [emoji126] ,[emoji102]
Do you want me to upload my bank statement?, i will do so if you insist,nitakuwekea huko huko PM uisome halafu utaje mawe kiasi gani unahitaji,hapo ndio utajua kuna watu duniani.
 
Iiilooooooo.... Umechemka[emoji12]
Basi mamii usiniaibishe,nilikuwa natupa mshale gizani nikijaribu bahati yangu,hata hivyo nimefeli coz nilizidisha confidence,kwa hiyo nakubali nimepata holaaa.Sasa zamu yako,hata ukikosa nitakulinda sikuaibishi basi.
 
Daslam,engineer tanrod[emoji85]
 
Kama unampango wa kuoananae mkipata mtoto kuanzia mmoja kifua kitajaa. Ila kama nyonyo ndio ulevi wako, tafuta wa haki ya moyo wako.
 
Back
Top Bottom