Nataka nikope pesa Bayport

Wewe ni tapeli na ni miongoni mwao.
Baypot Hawaii hivyo unavosema
 
wadau anaowafaham vzur bay pot kuhusu makato yao anjuze,maana nataka nkakope kwao leo hii
Hapana Maneno Mengi Jichanganye tuu Uone! Kamwe usijaribu nilikopa Laki Saba 2007 nilikatwa zilifika Milioni 4 na deni likawa bado tuu nikaacha na kazi yenyewe hao sio watu
 
Wewe utakuwa umetumwa kuja kuwasafisha, nina mfano hai kuna ticha mmoja amekopa million 6 ila mpaka leo anakatwa zaidi ya laki 3 na kwenye slip inaonyesha bado anadaiwa million 14, alianza kukatwa tangu mwaka juzi
Huu ni uwongo, alafu sijui kwa nn huwa nawadharau sana walimu hasa linapokuja suala la kujiongeza! Haiwezekani ukope mil 6 alafu ukatwe mil 14
 
Mfanyakazi wa, Bayport
 
Kiuhalisi Bayport wamepoteza sifa Kama taasisi. Kuna jamaa yangu alikopa muda ulipoisha wa deni lake wakaendelea na makato mpaka alipo peleka malalamiko kwa afisa utumishi. Ukichukua mkopo kumbuka kubaki na kopi ya mkataba wa mkopo wako.
 
Hahahahaha halafu nimekumiss eby malizia basi hii story
Ahyaaa!!! Binamu mi ndo nimeku-miss hadi nahisi naanza kunenepa kwa stress!!! Halafu ujue wiki mzima nilikuwa najitahidi kukumbuka nilikuwa nakukutaga mtaa gani vile... ndo nimeukumbuka hivi punde; Makapuku
 
Kuna wapuuzi wengine wanaitwa faidika. Mkataba ulikuwa unasema ukitaka kufuta deni baada ya muda flani unakaa nao mezani unacholipa mnamalizana. Sasa miaka hiyo nikawa nimebakiza makato matatu nikawaambia tumalizane wakasema ukitaka kufuta deni b4 kuna penalty! Walinikata penalty ya makato ya miezi mitatu zaidi! Washenzi sana hawa watu. Yaani umebakiza deni la laki 3 utakalokatwa kwa mwezi ukitaka kulipa sasa ivi unapigwa penalty ulipe laki 6! Huu ni ujambazi siyo wizi
 
Ahyaaa!!! Binamu mi ndo nimeku-miss hadi nahisi naanza kunenepa kwa stress!!! Halafu ujue wiki mzima nilikuwa najitahidi kukumbuka nilikuwa nakukutaga mtaa gani vile... ndo nimeukumbuka hivi punde; Makapuku
Hahaha ulikuwa unanikuta makapuku binamu ebu nimalizie basi binamu basi hiyo story ulivyoishia kati
 
Kwa nn ukubal?
 
We tetea tumbo lako lakini ukweli utabakia palepale kuwa mmepoteza credibility kwa watanzania.
 
Hivi mnavyomshauri aende Benki, kama huko ni rahisi mnadhani angekimbilia hizo taasisi nyingine? ni nani ataacha kwenye unafuu afuate kwenye ugumu?
 
Laki 3 na nusu kwa mwezi au kwa kipindi chote cha mkopo?
mhudum alinambia nkikopa mil 1.5 ikikatwa ndan ya miez tisa riba itakuwa lak tatu na nusu!!! sasa wew unaposema mil 2 riba iwe mil 4 kvp mkuu hebu elezea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…