Mi nilikopa mil 10 na walikuwa fasta sana, na makato yalikuwa kidogo sana hadi nikamaliza deni!
Riba ni ndogo sana aisee
Kifupi wapo vizuri sana, na wanakupigia simu kila mwezi kukujulisha umebakiza kiasi gani, ukienda ofisin unapewa statement yako clear kabisa
Alafu unaweza kuwaomba upitishe mwezi kama unahisi wakikata huo mwezi mambo yako hayatakuwa vzuri
Bayport ni mkombozi wa wafanyakazi kwa kweli
Hapana Maneno Mengi Jichanganye tuu Uone! Kamwe usijaribu nilikopa Laki Saba 2007 nilikatwa zilifika Milioni 4 na deni likawa bado tuu nikaacha na kazi yenyewe hao sio watuwadau anaowafaham vzur bay pot kuhusu makato yao anjuze,maana nataka nkakope kwao leo hii
Msambaa
Huu ni uwongo, alafu sijui kwa nn huwa nawadharau sana walimu hasa linapokuja suala la kujiongeza! Haiwezekani ukope mil 6 alafu ukatwe mil 14Wewe utakuwa umetumwa kuja kuwasafisha, nina mfano hai kuna ticha mmoja amekopa million 6 ila mpaka leo anakatwa zaidi ya laki 3 na kwenye slip inaonyesha bado anadaiwa million 14, alianza kukatwa tangu mwaka juzi
Umewah kukopa?? Au mnamuonea wivu mwenzenu kwenda kuchukua mamillioni bayport?Wewe ni tapeli na ni miongoni mwao.
Baypot Hawaii hivyo unavosema
Mfanyakazi wa, BayportMi nilikopa mil 10 na walikuwa fasta sana, na makato yalikuwa kidogo sana hadi nikamaliza deni!
Riba ni ndogo sana aisee
Kifupi wapo vizuri sana, na wanakupigia simu kila mwezi kukujulisha umebakiza kiasi gani, ukienda ofisin unapewa statement yako clear kabisa
Alafu unaweza kuwaomba upitishe mwezi kama unahisi wakikata huo mwezi mambo yako hayatakuwa vzuri
Bayport ni mkombozi wa wafanyakazi kwa kweli
Ahyaaa!!! Binamu mi ndo nimeku-miss hadi nahisi naanza kunenepa kwa stress!!! Halafu ujue wiki mzima nilikuwa najitahidi kukumbuka nilikuwa nakukutaga mtaa gani vile... ndo nimeukumbuka hivi punde; MakapukuHahahahaha halafu nimekumiss eby malizia basi hii story
Hahaha ulikuwa unanikuta makapuku binamu ebu nimalizie basi binamu basi hiyo story ulivyoishia katiAhyaaa!!! Binamu mi ndo nimeku-miss hadi nahisi naanza kunenepa kwa stress!!! Halafu ujue wiki mzima nilikuwa najitahidi kukumbuka nilikuwa nakukutaga mtaa gani vile... ndo nimeukumbuka hivi punde; Makapuku
Haha,kwamba wasambaa ndio wabishi!?
Kwa nn ukubal?Kuna wapuuzi wengine wanaitwa faidika. Mkataba ulikuwa unasema ukitaka kufuta deni baada ya muda flani unakaa nao mezani unacholipa mnamalizana. Sasa miaka hiyo nikawa nimebakiza makato matatu nikawaambia tumalizane wakasema ukitaka kufuta deni b4 kuna penalty! Walinikata penalty ya makato ya miezi mitatu zaidi! Washenzi sana hawa watu. Yaani umebakiza deni la laki 3 utakalokatwa kwa mwezi ukitaka kulipa sasa ivi unapigwa penalty ulipe laki 6! Huu ni ujambazi siyo wizi
We tetea tumbo lako lakini ukweli utabakia palepale kuwa mmepoteza credibility kwa watanzania.Mi nilikopa mil 10 na walikuwa fasta sana, na makato yalikuwa kidogo sana hadi nikamaliza deni!
Riba ni ndogo sana aisee
Kifupi wapo vizuri sana, na wanakupigia simu kila mwezi kukujulisha umebakiza kiasi gani, ukienda ofisin unapewa statement yako clear kabisa
Alafu unaweza kuwaomba upitishe mwezi kama unahisi wakikata huo mwezi mambo yako hayatakuwa vzuri
Bayport ni mkombozi wa wafanyakazi kwa kweli
mhudum alinambia nkikopa mil 1.5 ikikatwa ndan ya miez tisa riba itakuwa lak tatu na nusu!!! sasa wew unaposema mil 2 riba iwe mil 4 kvp mkuu hebu elezea