Nataka nikope pesa Bayport

Evarm

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2010
Messages
1,613
Points
1,500

Evarm

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2010
1,613 1,500
Ndugu 44mg44 yaani watu wote hawa unahisi wanakuambia uongo? Lakini najua utarudi ukiwa unalia. Huwa wana maneno matamu hivyohivyo ila baadaye utakuja kujionea baada ya kukopa huko Bayport
 

Emilias G

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Messages
2,640
Points
2,000

Emilias G

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2013
2,640 2,000
Namshauri akipata hiyo pesa asiweke dhamana Nyumba au kiwanja kitaenda bure bora aweke dhamana mshahara.Ikiwezekana aweke na pesa ya kumzikia (kununua jeneza nk)
Hao Bayport usoporudisha marejesho kwa wakati wanaweza kuja kuchukua hadi chupi za mkeo/mumeo kufidia deni lao!!
 

Mwaikibaki

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Messages
1,487
Points
2,000

Mwaikibaki

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2015
1,487 2,000
Kwa nia nzuri tu; kama huna pahala pa kukopa ndo uende hapo otherwise utajutia.

-Riba ya kukomoa
-Ukitaka kurudisha kwa mkupuo wanakuzungusha wee
-Mkopo ukiisha kuna hatari ya kuendelea kukatwa.

#Nina ushahidi wa nilichoandika.

Za kuambiwa changanya na zako mkuu.
 

Forum statistics

Threads 1,343,883
Members 515,249
Posts 32,800,918
Top