Nataka nikope pesa Bayport

Hahaha ulikuwa unanikuta makapuku binamu ebu nimalizie basi binamu basi hiyo story ulivyoishia kati
Binamu, hakuna cha kukumalizia zaidi ya maumivu niliyoyakuta, manake nikakuta principal + interest anayolipa ni karibu mara 3 ya net loan aliyopewa!!

Unajua Bayport kama haupo analytical unaweza kuwaona poa sana! Kwa mfano, unaweza kuchukua 1M bank ya NMB halafu ukawa unalipa 90K kwa mwezi lakini 1M hiyo hiyo Bayport ukawa unalipa around 60K.

Matokeo yake, kwa NMB utalipa 90Kx12 = 1,080,000 wakati Bayport utalipa 60Kx36 = 2,160,000/=
 
  • Thanks
Reactions: amu
Back
Top Bottom