Nataka nichukue mkopo dhamana mshahara

Nataka nichukue mkopo dhamana mshahara

Kopoea lk 273000 update zako m 7 na point kwa miaka 3, lkn uwe na chanzo kingine Cha kipato kama huna utateseka sana kwa maana hiyo usijengee pesa hizi, Mwisho kabisa nikushauri usiache kazi, utakuja kuikumbuka.
 
biashara ikitiki asiache kazi?
 
Back
Top Bottom