DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,311
- 109,518
Ushawai fanya biashara apo kabla? Au motiveshono spika washakuchota akiliNikishaingia mitini naenda kufanya biashara
Ushawai fanya biashara apo kabla? Au motiveshono spika washakuchota akiliNikishaingia mitini naenda kufanya biashara
Ukipata mkopo kutoka hazina njoo utoe ushuhuda hapa... Nakusubilia 😎😎.Unasemaji siwezi kupata mkopo kwani ww ndiye mtoaji..?
Maana vigezo ni kujiunga na saccos then kuanza kuchangia. Kwa watumishi wote wa Umma wana vigezo