Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 10,484
- 19,989
Huu msemo una kama kaukweli fulani, nimeshuhudia watu wamekuwa machizi, na wengine wapo normal kabisa na wanalitumia jani.Nasikia inachagua kichwa na kichwa, ikinikataa barida natemana nayo tu ..
Halifai kujaribu jaribu wewe jilipue tuUngepiga hata pafu mbili then usikilizie ..
Ungepiga hata pafu mbili then usikilizie ..
Mkuu bangi inaweza kukupelekesha tofauti vile ulivyotarajia ikiwa unahitaj kujiamin inaweza kukutia uoga,unaweza kuwa muoga ikakutia ujasiri ,ganja haitabiliki inaweza kukuchezesha hata ukiwa kichwa ngumu😁nachohitaji mimi ni kujiamini tu .. sitaki uoga ..
Ipo skanka inauzwa kwa gmMbona majani yenyewe wanachakachua me ndo maana niliacha kutumia lakini nikijua yalipo genuine nitaanza tena
Wakudumu Mkuu, ngoja nikupe ushauri hapa, ukitumia jani then ukaona hautaki kwenda kuoga achana nalo, ukitumia jani ukakesha/kesho yake ukawahi kuamka achana nalo, ukiendelea very very soon utawehuka.Kuna ukweli mkuu, lakini huo uchizi si ni temporary tu au permanent ?? ..
Angalia usije ukaanza kulia umefungiwa mlangohiyo kitu inafaa kutest ukiwa home alone tena ufunge mlango na funguo ..
Uzuri hamna kosa la kutumia lipo la kusafirisha na lakukutwa nayo tu. Kutumia sio kosaAfande nawachora
Unaweza kujiamini ila ukafanya mambo ya hovyo ukapigwa na kitu kizito kichwani
Exactly, kuna mtu ashawai niambia kitu Kama hicho ila sikufatilia alisema iyo skanka inapatikana supermarketIpo skanka inauzwa kwa gm
Kuanzia 2400.. ukitaka sema nikupe location ya chimbo
Duh kumbe mjani unahitaji discipline namna hiyo ..Wakudumu Mkuu, ngoja nikupe ushauri hapa, ukitumia jani then ukaona hautaki kwenda kuoga achana nalo, ukitumia jani ukakesha/kesho yake ukawahi kuamka achana nalo, ukiendelea very very soon utawehuka.
Kamwe usitumie jani ukiwa na hauna malengo utaji overload, jani unatakiwa ulitumie kisha uburudike kwa usingizi mwanana yaani usingizi mzito kweli kweli, hapo utaendana nalo.
Alafu usiigevwale wanaolivuta jani wanaweka shiiii!, Kama sijui wanavuta kitu gani wewe relax vuta kama sigara tu, hapo utabaki na lips nyekundu na kucha nyeupe.
Nimetumia nikiwa na miaka 13 hadi leo nina lips nyekundu, kucha nyeupe na skuli nilikua bright tu. Ila walioniiga wengi walipotea sijui walikosea wapi hata.