FAIDA ZA BANGI MWILINIkabisa ..
kupunguza ugonjwa wa arthritis.
kudhibiti kifafa .
kuzuia alzmehimers.
kupunguza matatizo ya magonjwa ya mzio.
kupunguza saratani.
Huboresha afya ya mapafu.
hukinga ubongo baada ya kiharusi .
HUKINGA UBONGO KUTOKANA NA MFADHAIKO NA KIWEWE...Na hasara zake je ?? ..FAIDA ZA BANGI MWILINI
kupunguza ugonjwa wa arthritis.
kudhibiti kifafa .
kuzuia alzmehimers.
kupunguza matatizo ya magonjwa ya mzio.
kupunguza saratani.
Huboresha afya ya mapafu.
hukinga ubongo baada ya kiharusi .
HUKINGA UBONGO KUTOKANA NA MFADHAIKO NA KIWEWE...
NB: start now to smoke weed bro....
INA FAIDA NYINGI SANA .
Piga bangi wewe......ukijua faida tu inatosha .....Na hasara zake je ?? ..
HASARA
NI ILLEGAL ukikamatwa unaenda kunyea ndoo kdg ( ...)
nilikaa kwa muda wa kama nusu saa hivi ngoma ikakubali kichwani. Niliingia darasani nikiwa na wenge si la kitoto, mwalimu anafundisha unamsikia lakini baada ya sekunde 2 unasahau alicho kisema.
percent. Basi bhana baada ya kula chakula cha mchana ngoma ikapoa kichwani nikarudi kwenye hali ya kawaida. Na kila kitu kilichotokea nikiwa high Ilikua ni kama ndoto maana nilikua naongea na mshikaji wangu mmoja lakini baada ya hapo sikua nakumbuka hata niliongea nae nini. Aisee, kwa hiyo unaendelea nayo mbele kwa mbele!?MREJESHO
Wakuu niliahidi nitaleta mrejesho wa experience yangu baada ya kutumia mjani kwa mara ya kwanza;
juzi nikiwa skonga kuna washkaji zangu kindaki ndaki walikua wakinieleza kwamba wanazo cookies ambazo zimetengenezwa kwa mjani. Ukiviangalia hivyo vi cookies ni vidogo tu na huwezi kufahamu kama zimetengenezwa kwa mjani ila ukila kuna vimbegu vidogo vidogo vile vya bangi.
Basi bwana! Juzi ijumaa tukiwa shuleni asubuhi mwamba akanikatia kipisi kidogo sana cha ile cookienilikaa kwa muda wa kama nusu saa hivi ngoma ikakubali kichwani. Niliingia darasani nikiwa na wenge si la kitoto, mwalimu anafundisha unamsikia lakini baada ya sekunde 2 unasahau alicho kisema.
Najaribu kuandika lakini hata ninacho kiandika sikioni na hata hakieleweki, nikawa najikuta nacheka mno darasani bila hata sababu ya msingi, kitu kidogo ambacho hakiwezi kumchekesha mtu kwangu mimi Ilikua very funny.
Basi baada ya kuona sielewi kitu darasani nikachukua kitabu changu nikakiweka kwenye begi nikaenda nje huku nacheka kinoma yani, kufika nje nikakaa kwa dk 2 nikarudi tena darsani nikaona jau nikarudi tena nje mpaka chooni nikakaa chini nikaanza kucheka nisijue kama ni kazi ya mjani.
Nilichogundua kuhusu hii kitu sio kwamba unakua completely off hapana! Ila you don't have fully control over yourself bypercent. Basi bhana baada ya kula chakula cha mchana ngoma ikapoa kichwani nikarudi kwenye hali ya kawaida. Na kila kitu kilichotokea nikiwa high Ilikua ni kama ndoto maana nilikua naongea na mshikaji wangu mmoja lakini baada ya hapo sikua nakumbuka hata niliongea nae nini.
Kesho yake ambayo ndo jumamosi ya jana ambayo kwa namna moja au nyingine ndiyo imenifanya nilete huu mrejesho hapa, nilifika skonga asubuhi sasa kwakua hii ndo wiki ya kwanza tangu shule zifunguliwe hakukua na wanafunzi wengi, kama kawaida nikaenda bwenini kwa washkaji tukagonga chai kisha tukatimba darasani.
Basi bwana! Kwakua siku iliyopita nilikula Ile cookie na haikuniendesha vibaya sana nikawaza naimudu, nikaamua kuongeza kipimo, nilikula kipande kikubwa karibia na kuimaliza, baada ya muda mfupi jau likaanza. Pale darsani tulikua mimi na washkaji zangu watatu pamoja na demu mmoja, aisee nilinyanyuka nikaanza kuzunguka zunguka bila hata sababu za msingi, nikawa nacheka kinoma yani.
Yani ubongo wangu ulikua ukifanya kazi kwa spidi ya ajabu na nikawa na zaidi ya vitu elfu moja navifikiria kwa wakati mmoja hali iliyonifanya niwe kama mtu aliyewehuka, nikawa siwezi kukaa nikafocus na kitu kimoja nitataka niandike at the same time nisimame, niende nje nirudi, ikafika kipindi mpaka nikataka nipige kelele I was running out of my mind.
Muda huo washkaji zangu hawana mbavu walicheka mnooo, mwamba mmoja akaniambia twende nikupeleke bwenini ukalale ukiamka utakua fresh. Shuleni kwetu mabweni ya wavulana yapo nje ya shule hivyo unaanza kutoka nje ya geti la shule ndo unaenda bwenini, basi bwana! Nje tu ya shule tukakutana na mdada mmoja akawa anatuuliza kuhusu performance ya shule kwakua anataka kumleta ndugu yake ambaye alikua anarudia.
Nikadakia na kuanza kujibu, aisee yule mwamba alikaa pembeni anashangaa anatamani acheke lakini anashindwa, kwa kifupi nilikua naongea pumba za hali ya juu sana alafu nilikilemba kingereza kana kwamba nipo redioni nafanya advertisement ya shule yetu, yule dada pia alishangaa na hata hakunijibu akajua kwamba kuna kitu hakipo sawa.
Basi tukafika bwenini nikavua viatu nikapanda kitandani, aisee maluwe luwe yakaongezeka na safari hii ikawa even worse, kumbuka nilikuwa nawaza karibia mambo mia kwa wakati mmoja hivyo sikuweza kufocus na kitu kimoja. Pale kitandani nikawa mara niamke mara nipige push-ups mara nirudi kitandani, kichwa kiliniuma ikafika muda nikapoteza kabisa kumbukumbu nikawa sijui kabisa hata nilipo.
Ikafika kipindi nikatamani nilie nikaanza kujutia, nikawa nakumbuka baadhi ya comments za wadau humu kwamba mjani ukikukataa unaweza ukawa mwendawazimu moja kwa moja basi kwa hali niliyokua nayo hapo kitandani nikawa naomba Dua kimoyo moyo.
Kuna muda nikawa nahisi kitu kinapanda kutoka chini kwenda kichwani, yani kwa kifupi hata ukiniona nilikuwa kama mtu aliyewehuka. Baadaye kabisa jioni kwenye mida ya saa 11 nikaanza kujisikia vizuri na nikarudi kwenye hali yangu ya kawaida. Basi nikawaaga wadau pale nikaanza safari ya kurudi home, nakumbuka nilitembea ka distance kadogo nikaanza kuhisi kichwa kinaanza kuwa kizito na macho yanaanza tena kupoteza focus.
Nikasimamisha bodaboda nikawa namuelekeza ila anacho nijibu nikawa hata sisikii, basi bwana! Nikafika home mida ya saa 12 jioni, huku kichwani sipo sawa kabisa nikaangalia TV kidogo kwenye mida ya saa moja usiku nikaingia kulala ndo kushtuka mida hii ya saa 9 usiku kidogo najisikia vizuri ila maluwe luwe bado kwa mbaali nayasikia nikaona sio mbaya nikileta mrejesho Kwa watu wangu wa JF.
NB: ukila mjani sio kwamba unakua completely off hapana! unakua na ufahamu wako lakini hauwezi kujicontrol kwa asilimia mia moja na kingine akili yako inakua na work rate kubwa inayokufanya uwaze mambo hata zaidi ya 1000 kwa wakati mmoja kitu ambacho kinakuletea hallucinations. Niliahidi nitaleta mrejesho na nimefanya hivyo wassalam! ..
Nimefurahi kwa hitimisho lako.Hapana mkuu, inatosha siwezi kujitesa namna ile.
Ungeanza kusmoke mzee, unakulaje Cookies halafu una tolerance ndogo.MREJESHO

Kama mimi hapa anayejua ni my wife tu wengine siruhusu kujua, yaani mi nikitoka job tu kama sina mchongo naanza kupuliza mapema huku najisomea zangu booksSi kila mvuta bangi anakaa kijiweni au jobless wapo watu wengi tu wenye maisha yao na wanakula mjani for leisure mkuu ..
vizuri sana mwamba, binadamu always ni wachunguzi.MREJESHO

Ile kitu inakupa confidence ya hali ya juu sana na pia ukitumia masaa yanakua yanaenda kasi sana, kila kitu inakua kama ndoto.Nimefurahi kwa hitimisho lako.
Kuna dogo alivuta akazima kwenye maua yale marefu, alishinda siku nzima alipokuja kuamka ni kesho yake ila yeye kichwan alihisi amelala nusu saa.
Wakamwambia tangu jana ulikua wapi? Hapo ndo shida ilipo anzia, yeye anasema jana ya wapi akati jana tulikua wote!??
Heee.! Wakajua hapa hakuna mtu timamu tena.!