Nataka nianze kula mjani

Nataka nianze kula mjani

SawaView attachment 1899875
JamiiForums30175173.jpg
 
Nakusihi ata usijarbu vuta,
I remember the first time nilijarbu kuanza kwa kunusa kwa washkaji, nikiwa class five, baadae nikaamua kuvuta.....
Sas hapo ndio nilijua bange si chai,,,,,,,,,,kwani nilirudi nyumbani nikaingia jikon direct, nikakuta msosi nikaona niwangu wote,,,,,kucheki hamna mtu karbu nikaulamba wote na sikushiba. Ikawa sasa
kucheka hovyo hakuishi
Bado nikiwa na wenge mshua akaingia baada ya kumsalimia nikamuuliza hivi wewe nilikuonaga wapi tena???
Kilichofuata ilikua mwisho wa matumizi ya mjani
HAHAHAHAHH! 😂😂😂
 
Niaje wakuu ..

Natarajia kuanza kula mjani as a way of boosting my confidence and self esteem, ninachohitaji kujua ni je kuna madhara yoyote ya kiafya yatokanayo na mjani huu mtukufu.

Vipi kuhusu kazi labda abroad haiwezi kuleta noma labda wakikupima afya alafu mjani ukawa detected ..

Karibuni ..
Mimi nimekula mjani kwa miaka mitano 2008-2012 sikupata tatizo lolote mpaka nilipoamua tu kuacha
 
Welcome jua
Kuna dry na mixer.chaguo Ni lako
Mdomo utakuwa mweusi na umelegea
Kunywa maji sana
Inanukaga mno rahisi kushtukiwa
Ikikaa Sana kichwani inaficha homa siku homa ikilipuka RIP in advance
Ukivuta unajistukia hutaki mtu wa familia akujue Kama macho mekundu
Tamu Sana feeling alright hasa ukiwa UnaKula ngoma za hip-hop kina Roma,nikki,ghetto,kad go,ngwair,na wengineo wengi
View attachment 1887668


Iyo kujistukia ilimkuta jamaa yangu, baada ya kula dawa alipo rudi nyumbani akamkuta mshua anamwamkia fresh. Katoka nje kuchota maji kamwamkia tena kurudi ndani wamekutana koridoni kamwamkia tena mshua akashangaa huyu bwana mbona heshima imezidi leo

Basi kumbana ikaonekana amekula dawa sasa ile kumwamkia mshua ilikuwa kuficha kama ametumia mzigo
 
Mimi nna jamaa yangu ye havuti ila anatafuna, huwa namuwazia simwelewi
 
Back
Top Bottom