Nataka nianze kula mjani

Nataka nianze kula mjani

Iyo kujistukia ilimkuta jamaa yangu, baada ya kula dawa alipo rudi nyumbani akamkuta mshua anamwamkia fresh. Katoka nje kuchota maji kamwamkia tena kurudi ndani wamekutana koridoni kamwamkia tena mshua akashangaa huyu bwana mbona heshima imezidi leo

Basi kumbana ikaonekana amekula dawa sasa ile kumwamkia mshua ilikuwa kuficha kama ametumia mzigo
nimecheka sana! ..
 
Uliwezaje, si wanasema ina addiction ?? ..
Kwenye maisha usiruhusu starehe/kitu kikutawale jitahidi ww ndo ukitawale ...wengi wanashindwa kuachana na vilevi sababu vinawatala,,jamaa niliokuwa navuta nao miaka hiyo kuna ambao wameshindwa acha hadi leo mwingine kawa teja kabisa ila mimi niliamka siku tu nikaamua kuanzia leo sivuti bangi tena,ugoro naacha na mirungi pia nikaamua ulevi wangu utaendelea kuwa bia ambayo hadi leo nakunywa na haijawahi niletea tatizo na sijawahi lewa kiasi cha kutojielewa au kuharibu mambo yangu

Tena ile bangi tulokuwa tunavuta inatoka milima ya Meru-Kenya ilikuwa hatari huwezi maliza puli moja mwenyewe ukivuta sana ni mistari sita nashangaa siku hizi nakuta madogo anavuta bangi kama fegi puli nzima alafu eti anajidai hawezi acha...ni upuuzi

Sent from my CPH2127 using JamiiForums mobile app
 
Nimevuta bangi mara moja mwez huu wa saba , ila naumwa kikohoz hakiishi , sijui moshi wake umeninasa
 
Vp ulishaanzaaa

Wengine mjani tulishaastu miaka 13 iliyopita

Ova
 
Kwenye maisha usiruhusu starehe/kitu kikutawale jitahidi ww ndo ukitawale ...wengi wanashindwa kuachana na vilevi sababu vinawatala,,jamaa niliokuwa navuta nao miaka hiyo kuna ambao wameshindwa acha hadi leo mwingine kawa teja kabisa ila mimi niliamka siku tu nikaamua kuanzia leo sivuti bangi tena,ugoro naacha na mirungi pia nikaamua ulevi wangu utaendelea kuwa bia ambayo hadi leo nakunywa na haijawahi niletea tatizo na sijawahi lewa kiasi cha kutojielewa au kuharibu mambo yangu

Tena ile bangi tulokuwa tunavuta inatoka milima ya Meru-Kenya ilikuwa hatari huwezi maliza puli moja mwenyewe ukivuta sana ni mistari sita nashangaa siku hizi nakuta madogo anavuta bangi kama fegi puli nzima alafu eti anajidai hawezi acha...ni upuuzi

Sent from my CPH2127 using JamiiForums mobile app
Dar hongera sana mkuu kwa hatua hiyo ..
 
Dah hii kitu nikikumbuka ilichonifanya 10 yrs ago siku ile saa 1 jioni aisee! Naona kama limetokea jana au leo. Kifupi siwezi kusahau aibu niliyoipata tena mtaani kwangu full nyomi la kutosha,dah ngoja niishie hapa
 
Kula mjani mwanangu hutojutia kabisa, sekunde moja itakufikisha Newyork bila Viza wala passport tena bila kupanda ndege na utakuwa booonge la jitu zaidi ya Biden..
 
Utaongeza kiwango cha kujiamini, mf. unaweza kupita maeneo ya Ikulu ukaandika ukutani kwa penseli "nyumba hii inauzwa" kitakachofuata utakuwa tayari kwa kusukumwa na mjani.
 
mkuu tupe kidogo story hiyo ..
 
Utaongeza kiwango cha kujiamini, mf. unaweza kupita maeneo ya Ikulu ukaandika ukutani kwa penseli "nyumba hii inauzwa" kitakachofuata utakuwa tayari kwa kusukumwa na mjani.
 
Haya mambo ya skanka au kujifanya mjuzi wa kuchagua mimea ndio mwanzo wa kudumbukia kwenye mambo mengine.
Kivipi mkuu, sasa kuchagua si ndio vizuri usichanganyiwe na vitu vyingine ..
 
Kula mjani mwanangu hutojutia kabisa, sekunde moja itakufikisha Newyork bila Viza wala passport tena bila kupanda ndege na utakuwa booonge la jitu zaidi ya Biden..
Huo ndo mwanzo wa kuweuka huo ..
 
Dah hii kitu nikikumbuka ilichonifanya 10 yrs ago siku ile saa 1 jioni aisee! Naona kama limetokea jana au leo. Kifupi siwezi kusahau aibu niliyoipata tena mtaani kwangu full nyomi la kutosha,dah ngoja niishie hapa
Tueleze wadau ilikuaje ili nasi tujifunzamo kitu
 
Utaongeza kiwango cha kujiamini, mf. unaweza kupita maeneo ya Ikulu ukaandika ukutani kwa penseli "nyumba hii inauzwa" kitakachofuata utakuwa tayari kwa kusukumwa na mjani.
Hatari sana
 
Back
Top Bottom