Nataka nianze kula mjani

mkuu hapo mwisho mbona kama unapingana na maandiko ..
 
Nakusihi ata usijarbu vuta,

I remember the first time nilijarbu kuanza kwa kunusa kwa washkaji, nikiwa class five, baadae nikaamua kuvuta.

Sas hapo ndio nilijua bange si chai, kwani nilirudi nyumbani nikaingia jikon direct, nikakuta msosi nikaona niwangu wote, kucheki hamna mtu karbu nikaulamba wote na sikushiba. Ikawa sasa kucheka hovyo hakuishi
Bado nikiwa na wenge mshua akaingia baada ya kumsalimia nikamuuliza hivi wewe nilikuonaga wapi tena?

Kilichofuata ilikua mwisho wa matumizi ya mjani
 
Pole sana mkuu, mjani unachagua kichwa na kichwa ..
 
Yaani unataka kuwa mvuta bangi!

Elimu ya saikolojia inasema'ivii?

Ukiona mtu yeyote kwenye hadhara kaanza kuulizia tija ya jambo fulani, mara nyingi ingawa si mara zote, mtu huyo jambo hilo huwa keshalifanya, ana uzoefu nalo na analipenda.

Ukiona mtu anamponda ama kumsifia mtu wa jinsia tofauti na yeye, elewa mtu huyo anampenda sana mtu huyo na anatamani sana kuwa kwenye mahusiano naye.

Ukiona mtu analaani sana tabia fulani, mfano wizi, uzinzi nk nk, elewa mtu huyo ana tabia hizo kisilka, huzifanya kwa njia nyingine ama atakuja kuzifanya.

Kwa muktadha huu, wewe ni mvuta bhangi mzuri tu,ila lengo la kuanzisha uzi huu ni kutaka kuelewa vipimo vya kiwango cha madawa ya kulevya mwilini kwa mtumiaji, huonekana pindi akipimwa hasa wakati akisafiri kwenda nchi za ughaibuni!

Lakini uelewe kwamba, bhangi zako hizo zinakupatia mzuka wa muda tu na mara nyingi mzuka wa bhangi ni marue rue yasiyo na uhalisia yanayoleta upumbafu.

Omba Mungu akuue ukiwa kijana kabla haujazeeka.

Maana kuufikia uzee ukiwa mvuta bhangi ni bahati, kutokana na madhara mengi sana yatokanayo.

Hata ukabahatika kuzeeka, utakuwa ni mzee asiyekuwa na manufaa yoyote katika jamii inayomzunguka, yaani mzee fala asiye na ushauri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niwe mkweli..(Am not promoting it though)

Sikuwahi kuvuta bhangi toka utotoni hadi mwaka huu mwezi juzi..nimevuta kama mara 4 kwa interval ya wiki 1 1.

Nimegundua vitu ambavyo pengine nisingevigundua au ingenichukua muda mrefu.
Mimi nina miaka 45 na miezi michache, sikuwahi kuvuta bangi lakini nilianza kuvuta mwaka jana 2020 mwezi wa tatu.
Nikagundua kwa nini nimechelewa kuvuta muda mrefu, it is something very good na nikajiuliza hivi kwa nini inapigwa marufuku kutokana na uzuri wake. Hivi ndo hii tunaambiwa inatia uchizi na ukichaa?
Sina mpango wa kuacha ganja katika siku za usoni kwa vile ganja inanipa peaceful usingizi mnono na akili naona imeongezeka, hakuna aibu za kijinga jinga
 
Huu msemo una kama kaukweli fulani, nimeshuhudia watu wamekuwa machizi, na wengine wapo normal kabisa na wanalitumia jani.
Mkuu usisikilize stories za watu ambao hawajawahi kujaribu huu mjani, wengi hawaongei kwa akili zao bali za kupewa na wengine.
Kama ganja inasababisha uchizi fanya utafiti, je wenye matatizo ya uchizi kwenye jamii yetu wamevuta bangi? Na kama sivyo uchizi husababishwa na nini? Najua utapata majibu tofauti kuwa sio kila anayevuta kapata uchizi, hivyo basi anayevuta na asiyevuta anaweza kuwa chizi kama ni hivyo basi ganja sio sababu.
Wewe ijaribu halafu angalia uendelee au uache.
Nashauri ukivuta bangi achana na pombe, dawa za kulevya na uchafu mwingine.
Wala usichanganye na tumbaku, smoke it dry, tena ukipata mmea genuine maana zipo pia hybrid.
Vuta bangi ukiwa peke yako kama ni mwanafunzi then enjoy yourself
 
Mkuu haukunielewa nilichomaanisha, kwanza nakubaliana na wewe kabisa pia naweka zaidi maelezo yangu clear, ni hivi sio kila chizi chanzo ni jani ila wapo machizi chanzo ni jani na hawa nimeshuhudia kwa macho yangu Mkuu.

Lakini hii haiwezi kuwa sababu kuwa kila anayetumia jani basi atakuwa chizi hapana kwani wapo watu pia pombe zimewapa uchizi kwa hiyo hii inategemea mwili wa mhusika tu vikiendana sawa vikipishana ni Soo.
 
Hivi kwanin wavuta bangi wanatembea kwa kuruka
 
Ijue tofauti kati ya kuvuta bangi na kuwa mvuta bangi ni sawa na utofauti kati ya kunywa pombe na kuwa mlevi ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…