Nataka nianze kula mjani

After a productive day nimechill zangu geto kikombe cha chai ya ganja mkononi naplay chances ya bob malrey.... damn maisha ndo haya
Haha enjoy mkuu, maisha ndo haya haya ..
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji38][emoji38][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] hii kitu anayetumia sipendi akae karibu Yangu nakumbuka ma dereva wa tahmeed mombasa jmn mpka Wana matezi[emoji38][emoji28][emoji28]
Mbona haina shida yoyote .. hata harufu hake sio Kali ..
 
Ndio nachokisemea na ndio ukweli wenyewe.. hizi mambo za kujifanya sijui unatafuta stimu mara kitu cha malawi, sijui zambia au kwa madiba sijui high grade ukiwa akili za kushikiwa mbeleni kubaya sana

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Kazi ya kwanza muwasibu (waliniita muwasibu mtoto). nikifika mwisho wa mwezi nitoe hesabu za mwezi kwa menejimenti.
Ma pl ma projection ma cash flow daah ilikua noma sana.
Sasa full kutetemeka yaani ceo, gm wako mbele pale.
Basi bwana nikapata solution. Yaani ikifika kesho ndio siku ya kutoa report nikawa natafuna vijiti kadhaa asee kesho yake naanguka tu maelezo kama yote. Hata kama nilikua wrong lakini ile confidence yangu boss alinikubali kichizi.
Ila skuizi nimeacha coz sipati connection ya kuipata kama zamani.
 
Mm kila nikiamka alfajiri napiga stiki moja then naoga maji baridi huku najiandaa kwenda job. Ganja raha sana ila usipende kushinda maskani gogo zembe. Chukua mzigo ukague kama og then vuta kwako taratibuu kwenye garden yako nyumbani, usimeze mimoshi kama warugaruga. Ukimaliza oga swaki alafu shushia na dompo wine glass moja huku unasoma kitabu cha novel. Yani ni raha kuliko kupewa mabikira 70 watakuchosha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…