Nataka nianze kula mjani

Hao itakuwa walikuwa wanachanganya na powder .. sio bure ..
 
Nilianza kuvuta 9 years ago. Kiukweli madhara sijayaona, na ni mvutaji haswaa. Yaani navuta three times a day.
Nilichojifunza ni kuwa, bangi ni mmea mtakatifu sana, na usivute bila ya kuwa na reason, kama wewe ni mbunifu bangi ni mahala pake kwa sababu, bangi inaleta mawazo mapya, na inakupa majibu ya maswali yote unayoyatafuta. Kama unahitaji kufanya tafakari pana weed ndiyo kitu maalumu cha kutumia.
ONYO: Usivute vijiweni, usivute na mtu ambaye haujamzoea. Na pia usivute bangi ukajiona muhuni, kwa sababu bangi inatabia ya kukuaminisha kile unachotaka kuamini.
Cheers!! Have fun bro. Kwa kujifunza mengi zaidi tembelea uzi wetu pendwa Psychedelic Drugs & Consciousness
 
Sikuwahi kuvuta bhangi toka utotoni hadi mwaka huu mwezi juzi..nimevuta kama mara 4 kwa interval ya wiki 1 1.

Nimegundua vitu ambavyo pengine nisingevigundua au ingenichukua muda mrefu.
Tupe!!!tupe vitu mkuu.Watu wengi wanaiponda sana.
 
Asante mkuu kwa mwongozo ..
 
Kwa kipindi kile nilichovuta na masela sikuona wakichanganya poda ilikuwa ni mjani pekee.
Nilimvutisha na dog wangu alitoka udenda na kuzimia baada ya kuzinduka alikuwa ni mkalii hata mimi hanitambui ndo nikaamini huu mjani si wakawaida.
Basi itakua vichwa vyao tu vibovu ..
 
Hay ni matatizo tu ya akili yanahitaj therapy na dawa zipo... Kukosa kujiamni has mbel ya wat wengi, kuhis wat wote wankuangalia wew kila wakt mkuu nenda hospitali y muhimbili pale chap tu
 
Hay ni matatizo tu ya akili yanahitaj therapy na dawa zipo... Kukosa kujiamni has mbel ya wat wengi, kuhis wat wote wankuangalia wew kila wakt mkuu nenda hospitali y muhimbili pale chap tu
Asante mkuu kwa ushauri ..
 
labda niulize kwanyie watumia bange/bangi hivi ukiwa unakula mjan kama mboga za majan kidogo kila msosi ina matokeo yale yale? hasa ya kuwa kinga ya magonjwa kadhaa na kustimulate ubongo kutenda vyema zaid?
 
Niwe mkweli..(Am not promoting it though)

Sikuwahi kuvuta bhangi toka utotoni hadi mwaka huu mwezi juzi..nimevuta kama mara 4 kwa interval ya wiki 1 1.

Nimegundua vitu ambavyo pengine nisingevigundua au ingenichukua muda mrefu.
Haahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…