cleverr
Senior Member
- Mar 3, 2020
- 138
- 137
- Thread starter
- #21
Mkuu itabidi nkomae kiume kwa kumtumia Sana Sir.God sababu me sio mdau wa superpower aisee....Kwa biashara ya mazao kwa ukanda wa nyanda za juu kucn kama ukitulia unatusua ila ujue unaingia kwenye VITA na "vita ni vita mura" Ukiona sehem wamejaa ndugu zetu wa makete hawa lazma ujipange vizur na hzo sehem ulizotaja ndio wapo kama wote pia unaweza ukajaribu Usangu kama ni mazao kule n mpunga tu