Nataka kwenda Dubai, ni bei gani kufika?

Nataka kwenda Dubai, ni bei gani kufika?

Lucy.. We jamaa muungwana sana. Huwa humu watu tunaambulia matusi na kejeli tu ukiuliza kitu ili ueleweshwe. We mungu kakujalia moyo mpana. Ubarikiwe sana
 
Mji ni huo huo Dubai sema ngozi nyeusi wengi tunakimbiliaga DEIRA kuna treni ya metro toka Airport mpaka Deira au ukipanda AIR ARABIA unashukia SHARJAH ambako ni nafuu kiasi au kama upo vizuri unaweza kuchukua taxi popote unapotaka kwenda. bei ya hoteli waweza kuangalia www.booking.com ingawa usi-book kupitia hao wanaongeza cha juu, ukishapata jina la hoteli na bei nenda kwenye website ya hoteli waandikie email au piga simu kuweka booking.
 
Ivi ukifika uwanja Wa ndege unaweza kumkuta mkalimani na kukutembeza kokote kwenye maduka na wanakuwaga waaminifu?
 
Mji ni huo huo Dubai sema ngozi nyeusi wengi tunakimbiliaga DEIRA kuna treni ya metro toka Airport mpaka Deira au ukipanda AIR ARABIA unashukia SHARJAH ambako ni nafuu kiasi au kama upo vizuri unaweza kuchukua taxi popote unapotaka kwenda. bei ya hoteli waweza kuangalia www.booking.com ingawa usi-book kupitia hao wanaongeza cha juu, ukishapata jina la hoteli na bei nenda kwenye website ya hoteli waandikie email au piga simu kuweka booking.

Powa kabisaaa wala hamna tatizo kabisaa na tunashukuru sana kwa maelezo yako ila vile vile ndege ya Air Arabia tatizo haiji dar inaenda tu Nairobi so ina maana utasafiri kutoka dar mpaka Nairobi alafu uunganishe pale au??kama ni hivyo bora hata kusafiri kutokea dar na Ethiopia Airlines au??maana naona inaweza kuwa rahisi zaidi....

Je upande wa Deira ni pazuri penyewe na pametulia naona wengi wanafikia Deira kwa ajili ya urahisi nadhani....Sharjah kidogo kama papo tofauti....
 
Ridculouz Dubai ukifanya kazi hukatwi kodi ndo raha yake.

Ukifika pale je kuanza kutafuta hotel sio inakuwa usumbufu mwingine hasa ukiwa na bag zako umebeba au ulifanyeje hasa??
 
Biashara za huko tafta watu mchangie ndo zinafaida

Mkuu me nataka tu niende kwa short holiday nikaangilie kwanza mwenyewe biashara na kila kitu kwa ujumla...so nilitaka kujua namna ya kupata hotel sehemu nzuri ya kufikia ms vitu ksms hivyo.....
 
Sio lazima upakie cont zima kama mzigo wako mdogo unaweza kutuma loose cargo royal marine au yule jamaa wa home center inaitwa door to door ni rahisi sana wewe unakuja chukua mzigo wako dar anafanya kila kitu kwa uzoefu wangu wa dubei nakushauri usiende deira ni cheap quality nenda sehemu inaitwa dragon mart. Nje kidogo ya mji hapo utapata product zote hasa za china ukitaka sharjah vitu bei juu sana kuwa mwangalifu sana kuna watu watakutembeza. Na kupata comm zao dubei sio cheap county ukipata mwenyeji mwaminifu utaenjoy
Minha Bazar mtaa wa maduka ya bei poa kabisa
 
Back
Top Bottom