Nataka kwenda Dubai, ni bei gani kufika?

Nataka kwenda Dubai, ni bei gani kufika?

Wakuu mm naenda dubai Juni mwishoni nafikiaga Deira toka airport nadandia treni Baniyas station pale natafuta hotel cheap 30 USD/night.
Nimependa michango yenu indeed ni ya kujenga zaid coz mtu anapaswa kuangalia mfuko wake..congrats
 
mbona hawaji kujibu hapa tujue

je kule simu original za tecno, lg zinauzwaje nataka kujua
 
Wakuu naomba kujua namna ya kupata visa ya dubai tafadhali maana naona hamna anayesema naomba tusaidiane ndugu zangu
 
Daaa naipenda JF, mungu awabarik san kw kushirikian hop aftr school taleta idea namtanishauri vzr ongeren san
 
Wakuu naomba kujua namna ya kupata visa ya dubai tafadhali maana naona hamna anayesema naomba tusaidiane ndugu zangu
Nenda kamuone Wakala wa ticket ya ndege inayoelekea Dubai atashughulika na Visa yako. Wala siyo issue.
 
Nenda kamuone Wakala wa ticket ya ndege inayoelekea Dubai atashughulika na Visa yako. Wala siyo issue.

Mkuu mimi ticket zangu huwa nakata mwenyewe huwa siendi kwa wakala maana wanakula hela zetu bila mpango so huwa na book mwenyeww online pia zaidi kuna jamaa ameniambia kuwa wanatoa visa ya dubai mfano wiki 2 kwa dollar 150 je ni sawa??
 
Inategemea kampuni gani ya ndege umeenda nayo ila mpaka 400usd unaenda
 
Ethiopian Airlines kuna kipindi walikuwa wanaprocess visa ya Dubai kwa 95 USD kama utasafiri na ndege yao (ila nashauri fanya booking online pale unaenda kulipia tu maana utapata punguzo la 10%)
 
Wakuu naomba kujua namna ya kupata visa ya dubai tafadhali maana naona hamna anayesema naomba tusaidiane ndugu zangu

Papizo mtafute jamaa anaitwa Noriega kwenye Hii post Na kaweka namba ya simu Na barua Pepe yake.
 
Naomba kujua nauli ya kwenda na kurudi Dubai na je kule ni kweli bidhaa za electronics zinapatikana kwa bei rahisi kidogo ukilinganisha na huku kwetu?:shock:
Mkuu kama utakaa zaidi ya wiki Jitahidi ununue kadi za Metro (Treni za umeme) maana tax zao ni garama na kama una mizunguko mingi itakugarimu , kadi ya metro ni Dirham 10 (Tsh 6000) hai expai , ila tax kutoka Airport ukiingia tu akikuliza unaelekea wapi ukimjibu anabonyeza meter inasoma Dirham 23 ( Tsh 14,000) unalipa kabla safar haijanza unajikuta unalipa dirham 70 safari nzima (Tsh 42,000) .

Na pia kama unaelekea Sharja hakikisha anakuacha nyuma ya Al mamza bridge maana akipita lile daraja kuna kodi analipa dirham 23 (14,000) kwa kupita lile daraja ni bora ushuke uvuke lile daraja ukachukee tax za upande wa sharjar .

Kifupi Dubai ina sheria kwamba tax za Deira zisifike sharjar ukitaka kwenda sharjar chukua tax za sharjar. Ni kibiashara zaidi .
 
Back
Top Bottom