nimewachokaaa
Member
- Oct 30, 2014
- 34
- 3
Sorry sikuliona swali lako,maduka ya vipodozi yapo Deira mtaa wa Gold souq hapo ndipo nawakuta wafanya biz wa Kariakoo waliomo kwenye biz hii,niliwaikununua(lakini ni siku nyingi kidogo)ni cheap na havina kodi kubwa kwa DSM.Mfano dazani ya Cocoa butler lotion inauzwa bei ambayo ni kama Tsh 2100 ambazo madukani kwa Dar zinauzwa kama 7500-10000,nikipata details nzuri ntakupa.
nachukua no yako kwanza afu tutawasiliana kka pia natanguliza asante lucky sabasaba