bless on
JF-Expert Member
- May 22, 2026
- 750
- 1,745
Katika Mji ambao nimepiga hesabu zangu na kuplan lazima nitinge, wa kwanza kabisa ni DUBAI. Yaani hapo ndiyo penyewe, Hakuna mjadala, hiyo ndiyo sehemu ambayo nataka nikanyage nione maajabu ya dunia Laivu bila chenga.
Japo nyie mtahisi pakishamba but it's fine.
Kama unataka nguo za kijanja huko ndiyo kwenyewe. Vitu viko bei poa sana kwa wafanyabiashara..
Kule utapata simu kali kwa bei ya chee kuliko huku mtaani kwetu.
Ukifunga mzigo wako vizuri, faida unayopata huku Bongo ni ya maana sana..
rafiki yangu Daudi, mama mkubwa wake alienda Marekani mwaka juzi, lakini alipita pale Dubai kama kituo chake cha kwanza. Aisee, alivyopiga simu kuelezea kule kulivyo, alikuwa anasisimka mpaka sauti inatetemeka! Alikuwa anaiota ile Dubai tangu zamani, na alipokanyaga tu kwenye ule uwanja wa ndege na kuona vile vioo vinavyong'aa, alijua kabisa amefika mjini kweli.
Unajua ile unatembea katikati ya majengo marefu kisha unahisi harufu ya fursa kila kona?😆😆😆😊 basi ni huko.
Kule kila kitu kimekaa kishua, kuanzia barabara mpaka masoko ya dhahabu kwa wale wenzetu wa Geita wa kuchimba madini.
Yaan , mimi mwenyewe natamani sana nifikehuko Dubai, nikipata hela tu, naendaa! Sina hiyana, nikidaka mtonyo wa maana, tiketi yangu ya kwanza ni hapo.
Ukiingia kule Dubai kwenye machimbo ya biashara, unakutana na kila aina ya bidhaa. Simu, pamba kali, na gadgets za kisasa ambazo huku mtaani watu wanazitolea macho.
Pale unakutana na watu kutoka kila taifa. Ni sehemu ambayo ukiingia na akili ya utafutaji, huwezi kutoka mikono mitupu. Connection moja tu inaweza kubadilisha maisha yako mazima.
Dubai unakutana na watu wa kila taifa. Hapo ndipo unapoweza kupata connection ya biashara hata na watu wa China au Ulaya ukiwa hapo hapo.
Sema tu mimi naipenda DUBAI ipo kwenye damu yangu kama siku moja nikipata pesa nitaenda kuttembea tu nirudi...