Nataka kwenda Dubai, ni bei gani kufika?

Nataka kwenda Dubai, ni bei gani kufika?

Ok ndugu yangu haina Shaka,ukinikosa ya uae nicheki ya oman maana kazi yangu inanifanya niwe kwenye nchi 2 tofauti, hata mimi nimechukua ya kwako kuna vitu nahitaji unipe maelekezo zaidi
Naomba unicheki +255687268577 ninaitaji unipe msaada wako naitaji kuja dubai
 
Inategemea na airline..zingine ni cheap na nyingine zipo juu,$800 inatosha kwa nauli,tatizo fanya utafiti wa ushuru,electronics zipo cheap lakini chunguza tax ilivyo huko Tz.Wazoefu wengi uwa wanasubiri kipindi cha sale(punguzo)wakati maduka yanasafisha mzigo wa zamani na kuweka mpya.mwezi wa tano au wa sita ni mzuri sana maana nauli zinakuwa chini,hoteli zinakuwa chini na bidhaa zinakuwa chini kutokana na joto.Narudia chunguza ushuru wa Tz maana uwa haupo stable,ongea na agent mzuri au mtu aliyewaikusafirisha mizigo.
Aende wakati wa "Dubai Expo 2020"
 
Back
Top Bottom