SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,812
Ethiopian airlines ndo wana allowance kubwa ya mzigo last time ilikuwa kama 45 kgs/passenger (economy class)
Hiyo inatumika kama njia ya ku promote utalii wao na pesa nyingiya mtalii ibaki nchini kwao,sio kama sisi unatangaza kilimanjaro mtalii anapanda British Air,hotel analala ya muuitaliano,kampuni inayompandisha mlimani ni ya MMarekani,unakuja kukuta asilimia 85 ya mapato ya mtalii hayajabaki tanzania,ndio maana wantumia mbinu ya kukulazimisha upande Emirate kwa kuwani ya Dubai kindakindaki sio ya mgeniNilianza na emirates ikawa juu..
Nikajaribu fly Dubai nayo juu ndege cheap niliyopata ni Turkish na Ethiopian airlines tatizo hapo kwenye kulazimishana tukate emirates Kama tunataka tourist visa
Labda haikua na mpunga wa maanaOndoa hofu. Dubai ni crime free city. Mwezi wa 9 nilienda na rafiki yangu alisahau wallet kwenye taxi baada ya siku 3 walimrudishia bila kupungua hata noti moja
@jason statham2Kwa vifaa vya ujenzi ni cheap kupita maelezo ila bati zipo juu,ndio maana siku hizi Tz utakuta mtu kajenga nyumba boma tu akaliacha,akaja Dubai kununua finishing material zote mpaka dirisha za aluminium utakalouziwa kwa tsh 300000 huku utalipata likiwa complete kwa tsh 42,000/rangi nyingi tunazotumia Tz zimetengenezwa arabuni very cheap.Tiles,sinks etc Furniture ndio kabisaa kuna kabati nilituma kuzunguka kariakoo nilikuta ni tsh 850,000 sikuamini macho yangu mimi nilinunua chini ya 250,000/,vifaa vya ujenzi havina ushuru mkubwa..isipokuwa cement ndio unatakiwa kukumbuka kuomba cheti cha ubora ili ikifika Tz Tra wasikusumbue,na cement wanaopata faida zaidi ni wafanyabiashara maana wakiweka kwa container kubwa ata wakitozwa ushuru mkubwa na wakauza kila mfuko kwa Tsh 8,500/ bado wana faida.vifaa vya umeme ndio kabisa mwaka jana nilinunua bunda la waya 1.5 kwa tsh 25,000..Kwa biashara ya nguo ni Thailand lakini kwa vifaa vya ujenzi,spare na electronics Dubai ni pazuri zaidi na sio mbali sana hivyo utumaji wa mzigo unachukua siku chache na gharama nafuu,kutuma container la ft 20 ni $1700 na kuna kampuni nyingine ni chini kidogo na ndani ya siku 10 mzigo upo port Dar.na kama utaki container kutuma kwa box CBM ni cheap pia.Cement nyingi inayotengenezwa Dubai sasa ina demand kubwa Qatar maana wana ujenzi mkubwa wa hotels na viwanja kwa ajiri ya world cup sasa bei imepanda wanauza tsh 3,900 kwa mfuko
Kweli mkuu, uzi huu ufufuliwe.Kitu nilichojifunza kwenye uzi huu ni kwamba,wafanya biashara inabidi mpendane,msipende sana kuwa madalali wa kila kitu,biashara ya leo bila uamninifu na utu hufik popote,pia ujirani uliopo kati yaTanzani na Dubai unaweza kuipeleka nch yetu mbali ki biashara,mfano suala la kodi limekuwa moja kati ya vikwazo vikubwa vya maendeleo ya uhusiano,seikali isikimbilie kutoza kodi kubwa tuu lakini pia iangalie maendeleo ya raia wake
Naomba kujua nauli ya kwenda na kurudi Dubai na je kule ni kweli bidhaa za electronics zinapatikana kwa bei rahisi kidogo ukilinganisha na huku kwetu?:shock:
SharjahJe maduka ya spare za magari nayapata eneo gani Dubai?.
Safi sana mkuuNdio nishaufufua tusubir watu wenye ujuzi waje waendelee kutema madini
Sent using Jamii Forums mobile app
ShukraniSharjah