amani kaseko
Member
- May 16, 2013
- 65
- 30
..Mkuu una idea na biashara ya vipodozi kutoa dubai kuleta Tanzania.
..Mkuu una idea na biashara ya vipodozi kutoa dubai kuleta Tanzania.
Naomba kujua nauli ya kwenda na kurudi Dubai na je kule ni kweli bidhaa za electronics zinapatikana kwa bei rahisi kidogo ukilinganisha na huku kwetu?:shock:
kule vitu ni ghali sana
...Mzee una idea na biashara ya vipodozi kununua dubai na kuleta Tanzania..nawakilisha
Hello...Qatar ni kama usd 700 na Emirates 800..Electronics ni cheap sana pale Deira...ukifika airport utapata tax watakupeleka hotel na hapo deira ni maduka tupu utapata cheap sana.
Inategemea na airline..zingine ni cheap na nyingine zipo juu,$800 inatosha kwa nauli,tatizo fanya utafiti wa ushuru,electronics zipo cheap lakini chunguza tax ilivyo huko Tz.Wazoefu wengi uwa wanasubiri kipindi cha sale(punguzo)wakati maduka yanasafisha mzigo wa zamani na kuweka mpya.mwezi wa tano au wa sita ni mzuri sana maana nauli zinakuwa chini,hoteli zinakuwa chini na bidhaa zinakuwa chini kutokana na joto.Narudia chunguza ushuru wa Tz maana uwa haupo stable,ongea na agent mzuri au mtu aliyewaikusafirisha mizigo.
Ninaomba kujua soko la mbao uarabuni likoje? Maaana nimekua nauza mbao za jumla toka Mafinga-Iringa sasa natafta namna ya kuingia katika soko la nchi za kiarabu
Maelezo yakutosha mmepata toka kwa lucky sabasaba, haya mwenye shida na visa tuonane pm au email, iskhazrahbi@yahoo.com, au ibrah4real@hotmail.com mobile +971569880360 whatsaap +96896505758 ndani ya 48 hrs unapata visa yako popote ulipo
Ntarudi na feedback. Asante sana mkuu
mkuu...yaonyesha ww ni muungwana sana...nampango wa kuja kusafisha macho tu huko(kutoa ushamba)...vipi niweke ka sh ngapi hv? asante sana..Poa kaka ata uki Google 'Timber dealers in Dubai' wapo wengi sana utawajaribu kuwasiliana nao.
mkuu...yaonyesha ww ni muungwana sana...nampango wa kuja kusafisha macho tu huko(kutoa ushamba)...vipi niweke ka sh ngapi hv? asante sana..
poa mkuuuVisa mwone Noriega hapo juu kama utakuja peke yako kigetogeto hakuna shida,kwa hoteli zipo juu kidogo kuanzia Tsh 70,000/ maana mwezi huu na ujao ni msimu wa likizo.Ukiwa tayari tuwasiliane.
Visa mwone Noriega hapo juu kama utakuja peke yako kigetogeto hakuna shida,kwa hoteli zipo juu kidogo kuanzia Tsh 70,000/ maana mwezi huu na ujao ni msimu wa likizo.Ukiwa tayari tuwasiliane.
lucky sabasaba Ujagusia vipodozi kka vp uko vinapatkan sabb nina pesa kama m6 nataka nikafunge mzgo ssa mara zote nachukulia mbeya lkn ssa nataka nichukulie uko dubai plz nijibu