Nataka kwenda Dubai, ni bei gani kufika?

Nataka kwenda Dubai, ni bei gani kufika?

Jamaa wanamilikiwa na Saeed al Maktoum,Majid al Futtaim na richest man in Dubai Al Ghurair ndio hasa wamiliki wakuu si shirika la zamani sana lakini wanakuja kwa kasi safari za Dar hawajaanza siku nyingi,wanakwenda miji 83 kila siku tokea Dubai.Tatizo ni suala la visa hawa jamaa sio Serikali bali Emirates airlines ni serikali ndio maana ukiomba visa kupitia Emirates unatakiwa kuipata ndani ya siku 3 za kazi.Sasa ukiomba kupitia FLY Dubai wawezakuipata kwa siku nyingi zaidi na pia wawezakukosa fitina zipo sehemu zote.Kama nilivyosema Emirates ambayo imetokana na neno Emir ni ndege ya serikali ya Dubai na sio nchi ya UAE bali Etihad ndio ndege ya Muungano-UAE.

Wanamilikiwa na nani hawa?
[/QUOTE]

Ok thanks kwa info mkuu...

Wasije badilika tu kama qatar airways maana awali walikuwa bomba lakini now wamekua juu kuliko mashirika kama KLM yaani huyu jamaa akifanikiwa kumzima Turkish airline itakuwa kamaliza kazi.
 
Ok thanks kwa info mkuu...

Wasije badilika tu kama qatar airways maana awali walikuwa bomba lakini now wamekua juu kuliko mashirika kama KLM yaani huyu jamaa akifanikiwa kumzima Turkish airline itakuwa kamaliza kazi.[/QUOTE]

Qatar airways kafanikiwa sana kwa huduma,ana kiwanja kizuri sana ambapo sasa connection nyingi zinafanyika pia kumbuka Qatar ni kati ya mashirika machache sana ya ndege ambayo ni FIVE STAR,lakini Emirates atamjibu soon maana kuna kiwanja kinajengwa Dubai Jabal Al ambacho ndege nane zinawezaondoka kwa wakati mmoja na ndege nane zinatua wakati mmoja...very soon
 
Ok thanks kwa info mkuu...

Wasije badilika tu kama qatar airways maana awali walikuwa bomba lakini now wamekua juu kuliko mashirika kama KLM yaani huyu jamaa akifanikiwa kumzima Turkish airline itakuwa kamaliza kazi.

Qatar airways kafanikiwa sana kwa huduma,ana kiwanja kizuri sana ambapo sasa connection nyingi zinafanyika pia kumbuka Qatar ni kati ya mashirika machache sana ya ndege ambayo ni FIVE STAR,lakini Emirates atamjibu soon maana kuna kiwanja kinajengwa Dubai Jabal Al ambacho ndege nane zinawezaondoka kwa wakati mmoja na ndege nane zinatua wakati mmoja...very soon

Lakini mkuu Turkish Airlines wako juu sana kihuduma ukilinganisha na hao Qatar...

Hao Emirates japo wanakuja juu lakini huduma na nauli zao ni so expensive utafikiri sio matajiri wanaoendesha shirika...

kuna siku nimesafiri toka Copenhagen DK kwa Qatar kuanzia CPH hadi Doha ndege ilikua nzuri but Kutoka Doha kuja DSM ndo ilikua kasheshe tupu kandege kadogo full mitikisiko halafu muda wa kubadilisha ndege pia ni balaa maana huchukua mpaka masaa 6 pale Doha....

Turkish kwakweli anajitahidi maana KLM now nae anasuasua tu

Mi naomba hiyo FASTJET ya Uarabuni fly dubai akanyage ulaya naamini itakuwa poa
 
Jamani mnaosifia qatar hamjawahi kusumbuliwa nao. Ni wasumbufu sana hasa kama unaenda dubai wakikuona ni mwafrika lazima mshindanie kilo hadi wafagizi wa pale uwanjani husema kuwa jamaa wanataka kulipwa. Mimi wameshawahi kunigomea kula kilo zangu hazionekani kwenye system hadi ndege ikaondoka tunabishana alipokuja wa shift ya pili akaniambia zipo
 
Katika Airlines matatizo ni mengi,Fast jet yetu inasifiwa lakini matatizo lukuki.Kuna bwana mmoja pia aliwaituambia hapa JF kuwa aliombwa pesa na Cabin crew wa Emirates nilishangaa sana japo sikukataa moja kwa moja,Cabin crew wa Emirates anapata basic salary ya $1200 kwa sasa,akisafiri anapata $20 kwa saa mfano ukipata safari ya Dubai-Us ni masaa 12 ukijumlisha na ya kurudi ni 24 hivyo kwa safari moja anatengeneza $480 plus anafikia five star hotel na kuna $125 ya chakula inatengwa kwenye mshahara wake,pia wana kopeshwa pesa lukuki benki wana discount katika malls na hotel nyingi Dubai,to cut a story short wana uhakika wa $6500 kwa mwezi na kama ujuavyo Uarabuni hawakati kodi hivyo hiyo ni take home,ukiona mtu kama huyo anaitaji sijui dola 30 toka kwako basi jua binadamu hatosheki.Sijajua waliokusumbua kilo ni uwanja wa ndege upi wa Doha au Dubai ???
 
Jamani mnaosifia qatar hamjawahi kusumbuliwa nao. Ni wasumbufu sana hasa kama unaenda dubai wakikuona ni mwafrika lazima mshindanie kilo hadi wafagizi wa pale uwanjani husema kuwa jamaa wanataka kulipwa. Mimi wameshawahi kunigomea kula kilo zangu hazionekani kwenye system hadi ndege ikaondoka tunabishana alipokuja wa shift ya pili akaniambia zipo

Mkuu umesema kweli hao watu ni wababaishaji na wanadharau Sana rangi nyeusi...

Kuna siku nilisafiri nao toka DK kuja DSM ni shida tupu customer care yao ni very poor sijui baada ya kupata wateja wengi? hii ndege ilikuwaga cheap kuliko KLM but Leo ni ghali kuliko KLM.

Ukifika Doha ni mateso tupu then unakalishwa masaa 6 kusubiri ndege ni shida tuu
 
Hayo yote unayaona kwenye tiketi kabda hujafanya booking,sometimes unawezakusubiri ndege ya kuunganisha ata masaa 14 au siku nzima,wakati wa kufanya booking una choice,na ata kama hutaki Qatar airlines nyingine nyingi tu,mwaka jana Doha airport ilitumika na wasafiri 12ml almost 35,000 abiria kwa siku hapo tatizo kutokea ni kawaida,uwanja wetu wa JK unatumiwa na wasafiri chini ya 3000 kwa siku lakini matatizo lukuki.
 
Mkuu point yangu ilikuwa hao bado Sana kushindana na akina KLM...Lufthansa...Turkish airlines
 
Mkuu point yangu ilikuwa hao bado Sana kushindana na akina KLM...Lufthansa...Turkish airlines

Top 10 airlines in the world
1. Emirates
2. Qatar Airways
3. Singapore Airlines
4. ANA All Nippon Airways
5. Asiana Airlines
6. Cathay Pacific Airways
7. Etihad Airways
8. Garuda Indonesia
9. Turkish Airlines
10.Qantas Airways
Mkuu katika Airline kuna chombo kinaitwa SKYTRAX hiki ndicho kinacho shughurika na mashirika yote ya ndege kuanzia service,wafanyakazi na malipo yao,airport nk hao wanatoa orodha ya best airline kama walivyofanya hapo juu,huwezi kusafiri mara 10 ukasema hawa ni best,lakini mawazo yako ni mazuri pia.Unawezakuona airline fulani ni nzuri kwa nje kumbe ndani hakuna kitu,wafanyakazi hawalipwi inavyotakiwa etc...Hiyo ilikuwa 2013

725_3.gif

The World's Top Airlines in 2014 - Ranking 1 to 20

725_3.gif

[TD="class: box, width: 728"]The results shown below show the final Global Airline Rankings in the 2014 World Airline Awards.[/TD]

[TD="width: 728"]

[TD="class: box, width: 220, colspan: 2"] 2014 [/TD]
[TD="class: box2, width: 48"]2013[/TD]
[TD="colspan: 2"] [/TD]

[TD="class: box, width: 32"]1[/TD]
[TD="class: box, width: 188"]Cathay Pacific [/TD]
[TD="class: box2, width: 48"]6[/TD]
[TD="width: 120"] [/TD]
[TD="width: 341"]

[TD="align: right"]

[TD="class: rankhdr1"]The World's Best Airlines in 2014[/TD]

[TD="class: rankhdr2"]
BLK6_12.gif
Airline Ranking 1-20 [/TD]

[TD="class: rankhdr2"]
BLK6_12.gif
Airline Ranking 21-40 [/TD]

[TD="class: rankhdr2"]
BLK6_12.gif
Airline Ranking 41-60 [/TD]

[TD="class: rankhdr2"]
BLK6_12.gif
Airline Ranking 61-80 [/TD]

[TD="class: rankhdr2"]
BLK6_12.gif
Airline Ranking 81-100 [/TD]
[/TD]
[/TD]

[TD="class: box, width: 32"]2[/TD]
[TD="class: box, width: 188"]Qatar Airways [/TD]
[TD="class: box2, width: 48"]2[/TD]

[TD="class: box, width: 32"]3[/TD]
[TD="class: box, width: 188"]Singapore Airlines [/TD]
[TD="class: box2, width: 48"]3[/TD]

[TD="class: box, width: 32"]4[/TD]
[TD="class: box, width: 188"]Emirates[/TD]
[TD="class: box2, width: 48"]1[/TD]

[TD="class: box, width: 32"]5[/TD]
[TD="class: box, width: 188"]Turkish Airlines [/TD]
[TD="class: box2, width: 48"]9[/TD]

[TD="class: box, width: 32"]6[/TD]
[TD="class: box, width: 188"]ANA All Nippon Airways [/TD]
[TD="class: box2, width: 48"]4[/TD]

[TD="class: box, width: 32"]7[/TD]
[TD="class: box, width: 188"]Garuda Indonesia [/TD]
[TD="class: box2, width: 48"]8[/TD]

[TD="class: box, width: 32"]8[/TD]
[TD="class: box, width: 188"]Asiana Airlines [/TD]
[TD="class: box2, width: 48"]5[/TD]

[TD="class: box, width: 32"]9[/TD]
[TD="class: box, width: 188"]Etihad Airways [/TD]
[TD="class: box2, width: 48"]7[/TD]

[TD="class: box, width: 32"]10[/TD]
[TD="class: box, width: 188"]Lufthansa [/TD]
[TD="class: box2, width: 48"]11[/TD]

[TD="class: box, width: 32"]11[/TD]
[TD="class: box, width: 188"]Qantas Airways [/TD]
[TD="class: box2, width: 48"]10[/TD]

[TD="class: box, width: 32"]12[/TD]
[TD="class: box, width: 188"]EVA Air [/TD]
[TD="class: box2, width: 48"]12[/TD]

[TD="class: box, width: 32"]13[/TD]
[TD="class: box, width: 188"]Swiss [/TD]
[TD="class: box2, width: 48"]16[/TD]

[TD="class: box, width: 32"]14[/TD]
[TD="class: box, width: 188"]Thai Airways [/TD]
[TD="class: box2, width: 48"]15[/TD]

[TD="class: box, width: 32"]15[/TD]
[TD="class: box, width: 188"]Virgin Australia [/TD]
[TD="class: box2, width: 48"]13[/TD]

[TD="class: box, width: 32"]16[/TD]
[TD="class: box, width: 188"]Air New Zealand [/TD]
[TD="class: box2, width: 48"]18[/TD]

[TD="class: box, width: 32"]17[/TD]
[TD="class: box, width: 188"]British Airways [/TD]
[TD="class: box2, width: 48"]27[/TD]

[TD="class: box, width: 32"]18[/TD]
[TD="class: box, width: 188"]Malaysia Airlines [/TD]
[TD="class: box2, width: 48"]14[/TD]

[TD="class: box, width: 32"]19[/TD]
[TD="class: box, width: 188"]Hainan Airlines[/TD]
[TD="class: box2, width: 48"]19[/TD]

[TD="class: box, width: 32"]20[/TD]
[TD="class: box, width: 188"]Bangkok Airways [/TD]
[TD="class: box2, width: 48"]31[/TD]

Sawa Mkuu

But naomba nr. Za maagent Wa emirates visa Wa hapa bongo Kama unazo
 
Tunaomba mrejesho wa safari yako ya Dubai ili nasi tujipange

mkuu sikufanikiwa kwenda kuna mambo mengi yalinitokea hpa katikati ila nia ipo pale pale bado najipanga
 
sasa hivi nimeiangalia FLY DUBAI economy class ipo chini ni 960dhs ambayo ni $285 nenda directly kwenye website yao,au piga namba yao niliyokupa hapo juu.$700 kwa FLY DUBAI bado kabisa haijafika,tatizo linawezakuwa VISA lakini ukiongea nao wawezakukusaidia

Tiketi ya bei nafuu utapata hapa (Tiketi.com) $418
 
Kuna ndege za FLY DUBAI zimeanza safari za Dar es salaam kwenda na kurudi ni $ 290 tu

Nimeiona hiyo mkuu ni cheap sana tena sanaa ana ipo powa sana naonaaa atleast naona sasa nitakuwa naenda hata kufanya mipango kwa kutumia hii ndege naona
 
Back
Top Bottom