Nataka kuzalishwa, mtoto nitalea mwenyewe.

Mark nakukumbuka sana kwa umahiri wako wa kuongea kiswahili na kimasai,
da Husninyo jaribu bahati yako kwa Mr Mark (The Dic), wadhungu ni nadra sana kuingia humu JF.

Tell her ma men,cause she doesnt believe me.
 
sio mnene, nina elimu na ninajiweza.

Sidhani kama una elimu: Huwezi kushobokea mtoto chotara siye na baba! Ni haki ya mtoto kumjua baba yake, na mtoto si mali yako kama property. Hayo mawazo yako yana ulimbukeni ndani yake.
Kwanza unazngua watu tu wewe, ni mwanaume-tena mwanafunzi......! Soma kwanza.
 
sidhani kama una elimu: Huwezi kushobokea mtoto chotara siye na baba! Ni haki ya mtoto kumjua baba yake, na mtoto si mali yako kama property. Hayo mawazo yako yana ulimbukeni ndani yake.
Kwanza unazngua watu tu wewe, ni mwanaume-tena mwanafunzi......! Soma kwanza.

he,ya kweli haya husninyo? Eti we bado denti? Ww ni he siyo she?
 
jamani hakawezi.wala ucwe na hofu. Cku ukikapata ka chotara kako unipm nikutumie zawadi yake.

nikipata tu kitambi nakustua ili uanze kuandaa zawadi. Kape hi ka kwako. Mwambie namtaftia wa kucheza nae.
 
Sidhani kama una elimu: Huwezi kushobokea mtoto chotara siye na baba! Ni haki ya mtoto kumjua baba yake, na mtoto si mali yako kama property. Hayo mawazo yako yana ulimbukeni ndani yake.
Kwanza unazngua watu tu wewe, ni mwanaume-tena mwanafunzi......! Soma kwanza.

hayo unayasema wewe. Una uhuru wa kuongea ila sa nyingine kukaa kimya ni busara kuliko kuongea.
 
he,ya kweli haya husninyo? Eti we bado denti? Ww ni he siyo she?

sio kweli. Nashangaa kwanini watu hawachangii hoja wanachangia mtoa hoja. Eti brandon jf ndio inataka hivyo au?
 
Kwanini usijiconnect na Dick

Au umeogopa jina lake isije ikawa ana mkono wa mtoto...........
 
Kama ni mtoto chotara nipo tayari kwani mimi mwenyewe nina asili ya kuchotala sasa ni bora kuzaa na mimi kama upo tayari ni PM.....

kwani ukitafuta huyo Mzungu nafikiri huto tutendea haki sisi wabongo wenzio. Na mawazo yako yanaonesha wazi kuwa bado unafikiri wazungu ni bora kuliko watu weusi.
Plz plz kama lengo ni mtoto tafuta mtu yeyote yule kwani sijaona tofauti
 
Dada acha ushamba! that is not good sound at all.
Why dont u say just unataka mtoto tu? badala yake unasema chotara?
Je unaukataa uhalisia wako? unawalaumu wazazi wako kwa kukuzaa black?
Unalizarau bara la Africa na watu wake? acha hizo mtu wangu! we sema unataka mtoto basi.
Nyie ndiye mnaowapandisha chati wazungu vishuka,wahindi na waarabu.
 
sio kweli. Nashangaa kwanini watu hawachangii hoja wanachangia mtoa hoja. Eti brandon jf ndio inataka hivyo au?

no,no no. Watu wanapaswa kuchangia hoja na si kuanza kumzodoa mchangia hoja. Wala uckone dia si unajua tena watu tuna upeo tofauti.
 
dada acha ushamba! That is not good sound at all.
Why dont u say just unataka mtoto tu? Badala yake unasema chotara?
Je unaukataa uhalisia wako? Unawalaumu wazazi wako kwa kukuzaa black?
Unalizarau bara la africa na watu wake? Acha hizo mtu wangu! We sema unataka mtoto basi.
Nyie ndiye mnaowapandisha chati wazungu vishuka,wahindi na waarabu.

jamani naomba nimtetee, si ushamba wala kujikana bali ni uamuzi wake. Hivi hata ww hujawahi tamani kuwa na kitu au mtu fulani maishani?
 
hayo unayasema wewe. Una uhuru wa kuongea ila sa nyingine kukaa kimya ni busara kuliko kuongea.

Pole!
Hofu yangu ni kwa huyo mtoto "chotara".....kwa jinsi unavyojichejua, hata kweli ukampata nahofia hautaishi naye kwa amani kwa sababu wewe unataka wa kummiliki!!!
Hautaki aje kumjua baba yake mzazi, unataka awe wako tu,nina mashaka kama utamruhusu hatakuoa na kuhama kwako...huenda hata ukachimba mkwara kuwa na demu ukawa unamgea wewe! Nahofia utakibaka hiko kitoto, wana harakati mko wapi jamani!
 
Mbona easy tu. Nenda casino mfano pale arusha mizungu ipo mingi ina njaa ya kut*a. Wengi wameacha wake zao ulaya wako alone tu
 
Back
Top Bottom