Nataka kuzalishwa, mtoto nitalea mwenyewe.

Bibie,hawa jamaa wazungu wanapenda saana kabla ya kwenda mbele hupenda kuanzia na kijambio yaani kukusukuma utumbo, sasa uko tayari?

loh! Huyo hatonifaa. Tunasex mara moja tu na siku ambayo yai linaweza kurutubishwa.
 
Mbona hunitumii PM au huamini kama mimi ni mzungu kweli?Jina langu naitwa Mark TenHoove nimekaa Serengeti miaka 15 nikitibu Simba walipokuwa wakiugua ugonjwa wa Malale.Kwa sasa nimerudi kwetu lakini usiogope popote ulipo nitakufuata nikuondolee shida yako na I have registered today after seeing your post.PM please.
 
Mark nakukumbuka sana kwa umahiri wako wa kuongea kiswahili na kimasai,
da Husninyo jaribu bahati yako kwa Mr Mark (The Dic), wadhungu ni nadra sana kuingia humu JF.
 
napenda kuwa na mtoto chotara (half cast), natafuta mzungu nizae nae ila akishanipa mimba asiwe na habari na mimi wala mtoto. Nitalea mwenyewe. Awe tayari kupima magonjwa yote ya kuambukiza. Ushauri plz kabla cjaingia kwenye dating sites za kizungu.

katika wana wake ambao hawana huruma we wakwanza....yaani unadhani uwezo wako na mbwembwe zako zitaweza kuzidi uwepo wa baba kwenye maisha ya mtoto?
 
Mark nakukumbuka sana kwa umahiri wako wa kuongea kiswahili na kimasai,
da Husninyo jaribu bahati yako kwa Mr Mark (The Dic), wadhungu ni nadra sana kuingia humu JF.

ha ha ha ha! Mmh mshkaji unataka nipeleka chaka nini!
 
Husninyo said:
how and where do i get it?

Where are you? If in Europe or US,sperm banks are to be found in special labs. Just use google in finding the nearest sperm bank. If in TZ,the nearest bank I heard is in Nairobi. Otherwise the idea of sperm bank would be redundant.
 
katika wana wake ambao hawana huruma we wakwanza....yaani unadhani uwezo wako na mbwembwe zako zitaweza kuzidi uwepo wa baba kwenye maisha ya mtoto?

sio hivyo hash, mbona kuna watu wamezaliwa na kulelewa bila baba kwasababu moja au nyingine na makuzi yao yameenda fresh tu. Usinifikirie vibaya. Hivyo ndivyo moyo wangu unapenda.
 
Where are you? If in Europe or US,sperm banks are to be found in special labs. Just use google in finding the nearest sperm bank. If in TZ,the nearest bank I heard is in Nairobi. Otherwise the idea of sperm bank would be redundant.

thanx nyanda..
 
sio hivyo hash, mbona kuna watu wamezaliwa na kulelewa bila baba kwasababu moja au nyingine na makuzi yao yameenda fresh tu. Usinifikirie vibaya. Hivyo ndivyo moyo wangu unapenda.

Having babies is fun, but babies grow up into people. ALWAYS REMEMBER THIS.....
 
Napenda kuwa na mtoto chotara (half cast), natafuta mzungu nizae nae ila akishanipa mimba asiwe na habari na mimi wala mtoto. Nitalea mwenyewe. Awe tayari kupima magonjwa yote ya kuambukiza. Ushauri plz kabla cjaingia kwenye dating sites za kizungu.

hivi mbeleni akikuuliza baba yuko wapi utasemaje?au unataka kufanya mambo ili uonekane mmagharibi!nakushauri umuone psychologist atakusaidia mawazo mazuri kabla ya kuamua kupata toto lisilo na baba.
 
habari,
Ukosawa kwa maoni na mawazo yako na unaweza ukaufanikiwa ukitia juhudi juu ya hilo,ila sasa kutakuwa na sababu gani ya kumnyima mtoto haki yake ya kumfahamu baba yake.
 
baba yake atakuwepo ila hakutakuwa na mawasiliano.

Hao watoto wanaoitwa point 5, naturally huwa wana sychological instability ambayo inatokana na kukosa identity. Inachukua muda sana kujitambua na kuridhika kama yeye ni nani, kwenye waafrika hayupo wala uzungu (mf: Obama si mwafrika wala si mzungu).

Kwako wewe itakuwa furaha kupata mtoto mwenye rangi tofauti na yako, lakini kwa mtoto huwa ni mateso makubwa sana kisaikolojia.

Sasa wewe wa kwako atakuwa mateso zaidi (ya kisaikolojia, manake umesema pesa unazo) kwakuwa hata baba yake hatamuona.

Acha ubinafsi kwa kufikiria namna ya kujipa furaha yako bila kufikiria hatma ya mtoto utakaye mzaa!

NB: Siyo africast wote watakuwa na bahati kama Obama. Mwisho nakushauri ingia kwenye maombi na umshirikishe Mungu katika huo mpango wako.
 
Hao watoto wanaitwa point 5, kwanza naturally huwa wana sychological instability ambayo inatokana na kukosa identity (inachukua muda sana

kujitambua na kuridhika kama yeye ni nani) kwenye waafrika hayupo wala uzungu (mf: Obama si mwafrika wala si mzungu). Kwako wewe

itakuwa furaha kuwa na watoto wenye rangi tofauti na yako lakini kwa mtoto huwa ni mateso makubwa sana kisaikolojia. Sasa wewe

wa kwako atakuwa mateso zaidi (ya kisaikolojia, manake umesema pesa unazo) kwakuwa hata baba yake hatamuona. Acha ubinafsi kwa

kufikiria namna ya kujipa furaha yako bila kufikiria hatma ya mtoto utakaye mzaa!

NB: Siyo africast wote watakuwa na bahati kama Obama. Mwisho nakushauri ingia kwenye maombi na umshirikishe Mungu katika huo mpango wako.

ahsante mpendwa. Nimejifunza kitu hapo.
 
Back
Top Bottom