Nataka kuzalishwa, mtoto nitalea mwenyewe.

mi mzungu na long time natumia kondom i think its time kupiga dry(nyama kwa nyama) nitafute
 
South Africa zipo clinic nyingi tu zenye sperm na upandikizwaji,ni PM nikupe address ya dockta
 
Napenda kuwa na mtoto chotara (half cast), natafuta mzungu nizae nae ila akishanipa mimba asiwe na habari na mimi wala mtoto. Nitalea mwenyewe. Awe tayari kupima magonjwa yote ya kuambukiza. Ushauri plz kabla cjaingia kwenye dating sites za kizungu.

Watu wengine Biology hawajasoma mpaka wamalize syllabus ya F4? Nani aliyekueleza kwamba ukizaa na mzungu LAZIMA mtoto atakuwa half cast? Hujui kwamba anaweza kuwa mweusi tu kama wewe? Au unataka sifa tu kwamba umelala na mzungu?
 
Pole!
Hofu yangu ni kwa huyo mtoto "chotara".....kwa jinsi unavyojichejua, hata kweli ukampata nahofia hautaishi naye kwa amani kwa sababu wewe unataka wa kummiliki!!!
Hautaki aje kumjua baba yake mzazi, unataka awe wako tu,nina mashaka kama utamruhusu hatakuoa na kuhama kwako...huenda hata ukachimba mkwara kuwa na demu ukawa unamgea wewe! Nahofia utakibaka hiko kitoto, wana harakati mko wapi jamani!

duh! Wewe kweli amoeba yaani ni great thinker. Angalau na wewe umecomment. Hujabaki nyuma. Thanx.
 
sio mnene, nina elimu na ninajiweza.

Maybe elimu unayo, lakini nadhani taaluma hauna. Kwanza, sijui wewe ni dini gani? Na kama hiyo dini yako inaruhusu mtoto wa nje ya ndoa (haramu). Unatangaza kuwa unataka fanya haramu uzalishwe, halafu Mungu wako utamueleza nini? Huyo mtoto utamueleza nini akikuwa na kujuwa kuwa ni product ya haramu.

Nakuomba achana na fikra Potovu na rudi kwa mola wako, tafuta mume wa halali na awe kabila lolote lile, hata huyo mzungu.

Usijifikirie matamanio yako tu, umfikirie na huyo mtoto umtakae, ataathirika ki saikolojia katika mazingira haya.

Nadhani umeelewa kwa nini nikakuambia huna taaluma.
 
Watu wengine Biology hawajasoma mpaka wamalize syllabus ya F4? Nani aliyekueleza kwamba ukizaa na mzungu LAZIMA mtoto atakuwa half cast? Hujui kwamba anaweza kuwa mweusi tu kama wewe? Au unataka sifa tu kwamba umelala na mzungu?

unaelewa maana ya half cast ndugu?
 
pole sana wazungu wanajua sana kufuatilia watoto wao...
sana sana labda umpige bao halafu usimwambie..
maana akijua tu unamtoto wake halafu hujamwambia ni balaa buluu....
chunga sana hilo maana watoto nao wakikua wataanza uliza mama baba yangu ni yupi au yuko wapi??
 
Maybe elimu unayo, lakini nadhani taaluma hauna. Kwanza, sijui wewe ni dini gani? Na kama hiyo dini yako inaruhusu mtoto wa nje ya ndoa (haramu). Unatangaza kuwa unataka fanya haramu uzalishwe, halafu Mungu wako utamueleza nini? Huyo mtoto utamueleza nini akikuwa na kujuwa kuwa ni product ya haramu.

Nakuomba achana na fikra Potovu na rudi kwa mola wako, tafuta mume wa halali na awe kabila lolote lile, hata huyo mzungu.

Usijifikirie matamanio yako tu, umfikirie na huyo mtoto umtakae, ataathirika ki saikolojia katika mazingira haya.

Nadhani umeelewa kwa nini nikakuambia huna taaluma.

samahani. Hebu angalia maana ya taaluma kwenye kamusi halafu uje uniambie.
 
pole sana wazungu wanajua sana kufuatilia watoto wao...
sana sana labda umpige bao halafu usimwambie..
maana akijua tu unamtoto wake halafu hujamwambia ni balaa buluu....
chunga sana hilo maana watoto nao wakikua wataanza uliza mama baba yangu ni yupi au yuko wapi??

najua watu huwa na uchungu na damu zao ila kwa case yangu itabidi tukubaliane before.
 
Napenda kuwa na mtoto chotara (half cast), natafuta mzungu nizae nae ila akishanipa mimba asiwe na habari na mimi wala mtoto. Nitalea mwenyewe. Awe tayari kupima magonjwa yote ya kuambukiza. Ushauri plz kabla cjaingia kwenye dating sites za kizungu.

Duuh sasa hapa mi ndio watu huwa mnanishangaza kweli... sio kwamba napingana na hii obsession yako ila nachoona mimi ni kwamba unakua mbinafsi labda una sababu zako ambazo hatuzijui lakini hili suala ni nyeti sana sijui kama umelifikiria ipasavyo,,, my point iz kila mtoto anahaki ya kua na familia ya baba na mama around him/her sasa unapofanya maamuzi kama hayo naona unakua selfish na hufikirii feeelings za hicho kiumbe atakapokua anaona wenzake wana family ya baba na mama halafu yeye hamjui wala kumuona baba yake:whoo:

waulize watoto walioexperience single parenting watakuelezea inauma namna gani
 
najua watu huwa na uchungu na damu zao ila kwa case yangu itabidi tukubaliane before.

kweli mi sidhani kama itawezekana jaribu lakini...
nakwambia hivyo kwa sababu nimewahi kuyaona haya ..
kwa nini usimdate mzungu halafu uzae naye na kama humtaki unamwacha baada ya kuzaa
hapo itakuwa rahisi kwa wewe na mwanae kuishi unapotaka ...
lakini bab atakuwa anamwona mtoto wake labda kila baada ya miezi 3,6 n.k
mimi naona hiyo ndo rahisi kwako na hata mwanae baadaye
 
labda niwaulize watoto waliolelewa na baba walevi sana ambao pesa yao ilikuwa inaishia kilabuni badala ya kulea familia.
Pia niwaulize watoto ambao baba alikuwa na wake 4 halafu kila mke amezaa nae watoto zaidi ya tano na kazi ya baba ikiwa ni kulima bustani.
 
samahani. Hebu angalia maana ya taaluma kwenye kamusi halafu uje uniambie.

Usikasirike, inaonyesha wazi wazi huna taaluma. Umeona point huyo tu. Jee, hayo mengine yanayohusu "haramu" hukuyaona? Au hukuyapenda?

Nakusihi, achana na fikra potofu za kutaka kutenda dhambi ya makusudi kabisa. Huyo mtoto umtakae ni binadam na si toy. Na unapaswa kufikiria kwanza maisha ya huyo mtoto unaempangia asimjuwe baba yake, umzae nje ya ndoa, nje ya mapenzi. Halafu unajidai una elimu, elimu gani hiyo ya uharibifu. Wenye taaluma hutumia elimu zao kutengeneza na si kuharibu.
 
sijakasirika mkuu, hizi zote ni changamoto ambazo nilitaraji kukutana nazo.
Upo sawa kiimani. Asalam aleykum!
 
husninyo, nina marafiki kadhaa watasha ambao naamini
wanaweza kukupa hicho unachotaka. sasa kama upo serious ni pm nikuunganishe
kwa hao jamaa uchague mwenyewe. nikikupa connection mimi naishia utakalofanya
huko mbele ya safari mimi simo.

Napenda kuwa na mtoto chotara (half cast), natafuta mzungu nizae nae ila akishanipa mimba asiwe na habari na mimi wala mtoto. Nitalea mwenyewe. Awe tayari kupima magonjwa yote ya kuambukiza. Ushauri plz kabla cjaingia kwenye dating sites za kizungu.
 
Sasa umeamuaje hadi sasa kuzaa na Mzungu au Black? Baada ya kupata ushauri kutoka sehemu mbalimbali
 
husninyo, nina marafiki kadhaa watasha ambao naamini
wanaweza kukupa hicho unachotaka. sasa kama upo serious ni pm nikuunganishe
kwa hao jamaa uchague mwenyewe. nikikupa connection mimi naishia utakalofanya
huko mbele ya safari mimi simo.

poa ahsante. Ila Unakubaliana na ninachotaka kufanya? Bado naendelea kusikiliza ushauri wa watu.
 
labda niwaulize watoto waliolelewa na baba walevi sana ambao pesa yao ilikuwa inaishia kilabuni badala ya kulea familia.
Pia niwaulize watoto ambao baba alikuwa na wake 4 halafu kila mke amezaa nae watoto zaidi ya tano na kazi ya baba ikiwa ni kulima bustani.

Hii sasa unajibu kwa hasira... maisha hayako hivyo at least that is what i believe, siwezi kufanya/au kutokufanya kitu kwa usahihi eti kwa kuangalia reference za mabaya yaliyotendwa na watu wengine sio baba wote wako hivyo this world ****s everybody in some way or another na sisi ni nani kuwajudge hao waliofanya yale unayoyaona wewe kua ni ukatili kwa familia zao?

hata mi sipendi yanayofanya na wale wanaotelekeza familia zao ila bado ushauri wangu ni kwamba mfikirie na huyo mtoto feelings zake na ignore other negatives
 
Back
Top Bottom