TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,534
😀Mzee kweli umenena..."mtoto halali na hela,analala na mavi"....nakubali.Huna plan ya Cha kuzifanyia? Nipe 5 miaka miwili upate 7 seriously
Naweka kwa ajiri ya ada ya mtoto,zingine zipo nafanyia biashara ila hzo sitaki niziguse.😀Mzee kweli umenena..."mtoto halali na hela,analala na mavi"....nakubali.
Mheshimiwa, achana na hizo fixed deposit bank, nenda UTT wekeza pesa zako huko, nenda tawi la CRDB wakupe maelekezo namna ya kuwekeza UTT, na kama uko Dar Nenda Sukari House Ohio, au PSSSF Dodoma, au Mwanza, Mbeya na Arusha. Lakni kama hauko sehemu nilizotaja zenye office za UTT, basi nenda CRDB wao ni kama agent wao. Kuna kitu kinaitwa Bond fund Investment, nadhani kitakufaa. Shukrani unipe baadayeHabari wadau..!
Kwa tetesi za mtaani viwango vya riba vimeongezwa kwa wale wanohitaji kuweka pesa kwenye akaunti za kuzaa faida yaani Fixed deposit au fixed term ,wanadai hii inatokana na ukwasi katika mabenki mengi hivyo wanahitaji watu watakao weka pesa kwenye mabenki yao.Je ni kweli???
Kwa sasa nina kama 10M nataka niiweke fixed kwa muda wa miaka 5 je naweza pata kiasi gani kila mwezi??
Benki gani wana riba nzuri na vigezo na masharti yao ni nafuu??
Nawasilisha na natanguliza shukrani kwenu wachangiaji.
Mheshimiwa, achana na hizo fixed deposit bank, nenda UTT wekeza pesa zako huko, nenda tawi la CRDB wakupe maelekezo namna ya kuwekeza UTT, na kama uko Dar Nenda Sukari House Ohio, au PSSSF Dodoma, au Mwanza, Mbeya na Arusha. Lakni kama hauko sehemu nilizotaja zenye office za UTT, basi nenda CRDB wao ni kama agent wao. Kuna kitu kinaitwa Bond fund Investment, nadhani kitakufaa. Shukrani unipe baadaye
Nakushauri fika UTT au CRDB wakala wao hutajuta10M unapata ngp for 5yrs?
Cc ExtrovertHabari wadau..!
Kwa tetesi za mtaani viwango vya riba vimeongezwa kwa wale wanohitaji kuweka pesa kwenye akaunti za kuzaa faida yaani Fixed deposit au fixed term ,wanadai hii inatokana na ukwasi katika mabenki mengi hivyo wanahitaji watu watakao weka pesa kwenye mabenki yao.Je ni kweli?
Kwa sasa nina kama 10M nataka niiweke fixed kwa muda wa miaka 5 je naweza pata kiasi gani kila mwezi?
Benki gani wana riba nzuri na vigezo na masharti yao ni nafuu?
Nawasilisha na natanguliza shukrani kwenu wachangiaji.
Ngigana naomba unipe kidogo Elimu ya UTTMheshimiwa, achana na hizo fixed deposit bank, nenda UTT wekeza pesa zako huko, nenda tawi la CRDB wakupe maelekezo namna ya kuwekeza UTT, na kama uko Dar Nenda Sukari House Ohio, au PSSSF Dodoma, au Mwanza, Mbeya na Arusha. Lakni kama hauko sehemu nilizotaja zenye office za UTT, basi nenda CRDB wao ni kama agent wao. Kuna kitu kinaitwa Bond fund Investment, nadhani kitakufaa. Shukrani unipe baadaye
Bora ununue viwanja after 3 yrs utauza kwa bei nzuri lakini siyo huo ujinga wa kuweka bankHabari wadau..!
Kwa tetesi za mtaani viwango vya riba vimeongezwa kwa wale wanohitaji kuweka pesa kwenye akaunti za kuzaa faida yaani Fixed deposit au fixed term ,wanadai hii inatokana na ukwasi katika mabenki mengi hivyo wanahitaji watu watakao weka pesa kwenye mabenki yao.Je ni kweli?
Kwa sasa nina kama 10M nataka niiweke fixed kwa muda wa miaka 5 je naweza pata kiasi gani kila mwezi?
Benki gani wana riba nzuri na vigezo na masharti yao ni nafuu?
Nawasilisha na natanguliza shukrani kwenu wachangiaji.
Namimi hapo?Ngigana naomba unipe kidogo Elimu ya UTT
UTT ni nini wakuu?
Fixed account faida yao ni ndogo sana
Asante sanaIngia playstore download UTT Amis app. Ingia barizi humo usome uelewe.
Kuna namba ukiwapigia wanakupa maelekezo. Very convenient unaweka hela kwa mpesa ama bank transfer kwa kari upendavyo. Riba ni minimum 13% kwa mwaka ambayo inapigwa daily. Ni njia nzuei ya kufanya biashara salama. Kila la kheri
Kwenye scheme za kuchagua kuna umoja fund, kuna bond sijui ipi ni nzuri ya kuchaguaIngia playstore download UTT Amis app. Ingia barizi humo usome uelewe.