Nataka kuvunja ndoa msaada wa ICT plz.

Nataka kuvunja ndoa msaada wa ICT plz.

Ok, kama ni huobhautoshi mkuu, unapaswa kufanya fumanizi. Ngoja wataalamu wa eneo hilo waamke wakusaidie.
Lkn usifanye maamuzi ya haraka, usiiache hasira ikusaidie kuamua, angalia pia ww umechangia vp ktk hali hiyo (kama sio tabia yake asilia), nayahisi maumivu unayopata lkn nenda taratibu tu ndg yangu.
Je umri wako ni kati ya hawa (https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/521202-wanaume-vijana-20s-35-wanaboa-sana.html), bora mimi sijafika huo umri. Hii inaweza kuwa sababu ya mkeo kwenda kwa jirani
 
Kuna wanaume wana moyo aiseeeee......it takes so much kuwa na this kind of thinking......

huyo mkeo kweli PASUA KICHWA......

Ngojea ninyooshee ukweli naojua mimi..
Sisi wanaume tuna tatizo sana nadhani Mie nilikuwa Kiongozi. Hakuna kitu inayomuuma mbaba kama kusikia mwanamke anayemwita mkewe kuna watu wanampandia huwa inauma zaidi ya uchungu Wa pakanga- frankly it pains a lot.

Mie nilipatwa Na maumivu hadi yakanipa wakati mgumu, ukichukulia mywife anafanya Kazi Za night shift Basi balaa, ukichukua cm yake utachoka, ukiendesha Na Kufanya Suprise visit ofcn kwake mid-night sometimes unakuta hayupo cm off. Nikapiga mkwara aache job naye akachimba bit Kama vipi nitoe talaka.

Sometime niliwaza kufanya vinasaba (DNA) Kwa Watoto to identify whether I am the real fadher. Nikachukua doc Kwa mwanasheria msobe Msobe hadi Ocean-Road hsp Kwenye dpt yake but on the way nikawaza how if I found SIO itakuwavipi Na jinsi navyowapenda wanangu can I handle?. Nakaachilia mawazo ile.

Nilishaorganize ndugu zake Na wazazi wanisaidie waowenyewe walichemsha. Imagine unafanya Suprise visit mid-night, kisha wanakwambia mkeo Leo yuko off au shift yake ni mchana Na SIO Mara moja Wala mbili , ukimuuliza simple anakujibu usimfuatilie Na Kazi . Ukiwaza kumpiga chini unawazia pia mstakabali wa Watoto Na heshima yako Mbele ya jamii.

Sina nia ya kukwambia my things Bali tu elewa unaposikitikia jambo wengine walishalia machozi ya Damu. Then lastly I got an idea, Kwamba Kama wanaume wenzangu wanachonga penseli zao humo kwani kichongeo wanakivunja? Waache wachonge wapendavyo maadam kichongeo Kina nguvu ok. Hapo nikawa flexible, nakumbuka was 2008. Then from that time nikapush Kwenye maendeleo sikuwa Na stress tena
 
  • Thanks
Reactions: awp
Hivi ndoa yenyewe haina mtoto, sasa unafungwa na nini kutoa uamuzi???mpaka uletewe magonjwa ndo utapata evidence????Jamani jamani mwanaume unatakiwa uwe na maamuzi. Kuna mda kwenye mapenzi nawapenda sana wazungu, wanakuwa wawazi sana na wanakuwa wepesi kufanya maamuzi!!!
 
Nataka niweke wazi kuwa chanzo cha mwanamke kukufanyia mikasa fulani na kuwa na jeuri fulani lazima kuna sehemu anayopata confidence hiyo. Kwa hiyo unatakiwa umjue mkeo anaringia nini mpaka akutese kiasi hicho. Nakupa mfano, kuna wanawake wamejaliwa uzuri sana na labda mke wako ni miongoni mwao lakini mpaka mnaoana labda wewe ndiyo ulilazimisha ndoa ili umwahi kabla wajanja hawajakuwahi.

Lakini matokeo yake mnafunga ndoa na mkeo anashindwa kuhimili vishawishi vya wanaume wakware wanaomtaka. Ikitokea hivyo jua kabisa huna chako, mfano mzuri naweza kuutoa wa ndoa ya Ndikumana na Irene Uwoya inaweza kuwa ushuhuda mzuri tu.

Pia huweza kutokea mara nyingine wanawake wakawa wanafanya kazi na kuwa na vipato vizuri ambavyo huwapa kiburi maana wanaona hawana cha kupoteza na suala la ndoa linabaki kama heshima. Wanawake wa namna hii wapo wengi sana nao ni miongoni mwa pasua kichwa.

Yote kwa yote, hata kama ikitokea una dizaini yoyote ya mwanmke hapo juu usiruhusu kabisa afanye umalaya huku ukijua mkeo anakusaliti wazi wazi, ni BORA KUFANYA MAAMUZI magumu kuliko kuendelea kuumia.

Ina uma sana unavyofikiria mkeo anatoa nje hujui huyo anayemkunyuga nje kama atamuacha salama bila kula kabang au kusalimika na magonjwa. Unabakia kupata uchungu usioelezeka.
Ili kuepukana na kupata magonjwa na kuzeeka kabla ya muda ni bora ukajitenga na mwanamke huyo hatua kwa hatua.

1.0 Unaweza kuwa hamshei ndoa lakini mnaishi nyumba moja kwa mustakabali wa wototo wenu ambao usingependa wakuulize maswali mengi juu ya mama yao. Watoto wakikua watajua nani mchokozi kulingana na mienendo watakayokuwa wanaiona na hapo unaweza kuchukua uamuzi wowote uutakao.

2.0 Kumuacha kabisa maana vitabu vyote vya dini vinaruhusu mwanmke mzinzi kuachwa.

Huo ni mtazamo wangu lakini.

Kuishi bila kushiriki tendo hakutampeleka mwanaume nae kutimiza haja zake nje ya ndoa na ikawa komoa ni kukomoe?
 
Ngojea ninyooshee ukweli naojua mimi..
Sisi wanaume tuna tatizo sana nadhani Mie nilikuwa Kiongozi. Hakuna kitu inayomuuma mbaba kama kusikia mwanamke anayemwita mkewe kuna watu wanampandia huwa inauma zaidi ya uchungu Wa pakanga- frankly it pains a lot.

Mie nilipatwa Na maumivu hadi yakanipa wakati mgumu, ukichukulia mywife anafanya Kazi Za night shift Basi balaa, ukichukua cm yake utachoka, ukiendesha Na Kufanya Suprise visit ofcn kwake mid-night sometimes unakuta hayupo cm off. Nikapiga mkwara aache job naye akachimba bit Kama vipi nitoe talaka.

Sometime niliwaza kufanya vinasaba (DNA) Kwa Watoto to identify whether I am the real fadher. Nikachukua doc Kwa mwanasheria msobe Msobe hadi Ocean-Road hsp Kwenye dpt yake but on the way nikawaza how if I found SIO itakuwavipi Na jinsi navyowapenda wanangu can I handle?. Nakaachilia mawazo ile.

Nilishaorganize ndugu zake Na wazazi wanisaidie waowenyewe walichemsha. Imagine unafanya Suprise visit mid-night, kisha wanakwambia mkeo Leo yuko off au shift yake ni mchana Na SIO Mara moja Wala mbili , ukimuuliza simple anakujibu usimfuatilie Na Kazi . Ukiwaza kumpiga chini unawazia pia mstakabali wa Watoto Na heshima yako Mbele ya jamii.

Sina nia ya kukwambia my things Bali tu elewa unaposikitikia jambo wengine walishalia machozi ya Damu. Then lastly I got an idea, Kwamba Kama wanaume wenzangu wanachonga penseli zao humo kwani kichongeo wanakivunja? Waache wachonge wapendavyo maadam kichongeo Kina nguvu ok. Hapo nikawa flexible, nakumbuka was 2008. Then from that time nikapush Kwenye maendeleo sikuwa Na stress tena

watakiaribu kwani vigumu vile wakipachika ngoma tu kwisha habari yake
 
Pole sana,
Wengi ndivyo walivyo miaka hii;
Vumilieni tu mwisho yatakuwa sawa.
 
Pole sana ndugu yangu ,pole sana ,hapo ulipoweza kugundua anakucheat hapo hapo anzia kutafuta evidence
sijui unasubiri nini kwenye hiyo ndoa hakia Mungu kuuwawa na ukimwi?
 
Ngojea ninyooshee ukweli naojua mimi..
Sisi wanaume tuna tatizo sana nadhani Mie nilikuwa Kiongozi. Hakuna kitu inayomuuma mbaba kama kusikia mwanamke anayemwita mkewe kuna watu wanampandia huwa inauma zaidi ya uchungu Wa pakanga- frankly it pains a lot.

Mie nilipatwa Na maumivu hadi yakanipa wakati mgumu, ukichukulia mywife anafanya Kazi Za night shift Basi balaa, ukichukua cm yake utachoka, ukiendesha Na Kufanya Suprise visit ofcn kwake mid-night sometimes unakuta hayupo cm off. Nikapiga mkwara aache job naye akachimba bit Kama vipi nitoe talaka.

Sometime niliwaza kufanya vinasaba (DNA) Kwa Watoto to identify whether I am the real fadher. Nikachukua doc Kwa mwanasheria msobe Msobe hadi Ocean-Road hsp Kwenye dpt yake but on the way nikawaza how if I found SIO itakuwavipi Na jinsi navyowapenda wanangu can I handle?. Nakaachilia mawazo ile.

Nilishaorganize ndugu zake Na wazazi wanisaidie waowenyewe walichemsha. Imagine unafanya Suprise visit mid-night, kisha wanakwambia mkeo Leo yuko off au shift yake ni mchana Na SIO Mara moja Wala mbili , ukimuuliza simple anakujibu usimfuatilie Na Kazi . Ukiwaza kumpiga chini unawazia pia mstakabali wa Watoto Na heshima yako Mbele ya jamii.

Sina nia ya kukwambia my things Bali tu elewa unaposikitikia jambo wengine walishalia machozi ya Damu. Then lastly I got an idea, Kwamba Kama wanaume wenzangu wanachonga penseli zao humo kwani kichongeo wanakivunja? Waache wachonge wapendavyo maadam kichongeo Kina nguvu ok. Hapo nikawa flexible, nakumbuka was 2008. Then from that time nikapush Kwenye maendeleo sikuwa Na stress tena

Pole sana! Unamapungufu tena makubwa .
Mkeo anakuwa changudoa alafu unajifaraji kisa watoto! Mkuu hata wale wasio na baba wala mama wanakua na kuwa watu wazito katika maisha .Ufedhuli kama huo haukubaliki na huyo shetani ashindwe!
 
kuna jamaa yeye alimnunulia mkewe simu mpya kama zawadi lakini ilikua na software ya kutrack location yake, na kuforward sms na simu kwa jamaa, so mkewe akipigiwa yeye anapata location yake, sms, na kuweza kusikiliza simu pia, ila tatizo lake alikua mhamiaji haramu mkewe akatumia hiyo kama kinga ikabidi wagawane mali kimya kimya and too bad the wife was a lawyer..ngoma nzito...jaribu kuangalia ni kwanini mkeo anakufanyia hivyo, kuna weakness ambayo anaitumia kama kinga kwake, ukishaijua jaribu kutafuta means za ku minimize risks then unavunja ndoa ukiwa na ushahidi tosha..
 
Sasa wewe "Majaribu.."hujaona kuwa hayo ni majaribu tu?
yawezekana hata hiyo mimba haikuwa yako; huyo mwanamke anakupenda na kukujali ndo maana anakutafutia TOTO la nje manake for 3yrs unamchafua tu!
Tulizana; manake huyo siyo kuku wa mayai eti!
 
Tunaoa basi tu nafikiri ni ufahali wa kijinga haiwezekani wanawake wawe hivi then tuwavumilie.................
 
Visa vingine vinarudisha nyuma harakati za kuingia huko, ninafikiria jinsi gani nitahimili kuishi na mtu ambaye najua kabisa analalwa na mwanaume mwenzangu, kweli sipati jibu.

Kwangu ni udhaifu mkubwa, tena sana kujua mke wangu wa ndoa anamegwa na watu wengine alafu upotezee, unawaza nini kiasi cha kupotezea? Labda kwa vile hivi visa ni vya upande mmoja, kungekuwa na uwezo wa kuwahoji walengwa, labda watu wangeshauri tofauti ila kwangu ni udhaifu mkubwa!

Yote kwa yote, poleni mlioleta visa vyenu!
 
Inaonyesha ni jinsi gani ulivyo umia pole sana tena sana..... Mungu akupe maamuzi ya busara bila kuzuliana.
 
Pole sana mkuu.Nikiona jinsi wake za watu wanavyomegwa kirahisi nakata tamaa na kuoa kabisa. You cant make a ----- a housewife!
 
nakuomba upunguze hasira kidogo, siyo salama kwa afya yako.umeksirika sana, kiafya wewe ndo unaumia.
 
hapo ndio ujue tumeumbwa tofauti tofauti, this is high level of tolerance
Omg!
Seriously? Yaani unakuta yupo off kakudanganya yuko kazini na unamezea?!

Sijui Mungu huwa anahusika na hizi match makings!

Swali, sio lazima unijibu lakini. Una nyumba ndogo? Manake najaribu kuwaza how do u distract urself from this zone reality!
 
pole sana mkuu kwa maumivu makali. hakuna marefu yasiyo na ncha, mwombe Mungu atakuonyesha matendo anayoyafanya.
 
Sipendi nimdhuru yeye, wala hawala yake wala maisha yake lakini siwezi kuishi na mke anayetoka nje ya ndoa, uchunguzi wa awali umenihakikishia unyama anaonifanyia lakini nahitaji vithibitisho kwa kufikia uamuzi wa kuvunja ndoa.

Naomba niwasilishe hoja, lakini kabla hujacomment fikiria nimeteseka sana na maumivu usiku kucha, sina mtu wa karibu wa kumpa suala langu zaidi nikaona nitupie hapa JF, hebu sasa heshimu mawazo yangu ukoment kitu cha maana na nisingependa ushauri wa ndoa zaidi naomba ujuzi huo hapo juu.

Acha 'mbwembwe'...kama umedhamiria kumuacha mkeo muache tu, usitafute sababu!
 
Mwanaume ni kama jogoo lisiloweza kufa kwa utitiri so jikaze kiume,fikiri mara mbili halafu fanya maamuzi yaliyo sahihi kaka
 
Back
Top Bottom